Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Kwanini asilipwe maza ako?
Kwa Sababu Maza wake ameolewa!!! Anatunzwa na MumeweKwanini asilipwe maza ako?
Chadema ni kama katoto kajinga kanakozira kula huku Lana njaa. Na kadri kanapoona wengine wanakula na chakula kinaisha ndio kanazidisha sauti ya kulia ili kaitwe kale. Wanasaikolojia ya watoto wanasema, dawa ya haka katoto sio kukabembeleza, bali kukaacha kashinde au kalale njaa. Mwisho wa siku katatie akili.Leo jijini Dodoma,kunaendelea kufanyika mkutano was wadau was siasa utakaomalizika Disemba 17 mwaka huu.
Katika mkutano huo viongozi was vyama vilivyoshiriki wamepata kuongea mbele ya Rais kupitia mwenyekiti was TCD ndugu Zitto Kabwe,ambapo Jambo kubwa alilomuomba Rais ni kuiunganisha nchi kwa kile alichoeleza kuwa imeparaganyika.
Akitumia kauli ya Askofu Shoo,Zitto amesema kubwa kwa Sasa lililobeba madhila ya kisiasa moja kwa moja ni kesi inayoendelea ya Mwenyekiti wa chadema Mzee Freeman Mbowe.
Amemuomba Rais ikiwezekana kikombe hicho Cha kesi kimuepuke Mzee Mbowe na wengine wenye madhila Kama hayo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi.
Kutokana na kauli hiyo ya Zitto,Rais Samia akaeleza ni muhimu watu wafuate Sheria na kuheshimu mamlaka,Mimi sitaki kuingia kwenye mjadala huo.
Maoni yangu nitayaelekeza kwenye uamuzi wa Chadema kabla ya mkutano na baada ya mkutano.
Kabla ya mkutano huo chadema walisema hawatashiriki kwa namna yeyote kwa vigezo walivyoviainisha.
Wakaenda mbali na kupitia kwa wanaharakati rafiki wa chama hicho Maria Sarungi na wengine wakaeleza matokeo yoyote yatakayotoa unafuu kwenye mkutano huo ni kwa sababu ya shinikizo la Chadema wenyewe kuususia.
Baada ya ufunguzi wa kikao hicho Cha wadau wa siasa Chadema kupitia Makamu Mwenyekiti Lissu na wanaharakati rafiki,wameanza kunyooshea vidole na kukosoa kile kilichozungumzwa na walioshiriki Kimwili na kiakili katika mkutano husika.
Kwa kuwa wao hawakushiriki Kimwili,wamepinga Yale yaliyoainishwa na wenzao ambayo kwa sababu ya uwepo wao Rais amejibu,hata Kama jibu halina mwelekeo.
Kwa Sasa wamejikita mitamdaoni kukosoa na kueleza wao wangeongea Nini na wangeshinikiza Nini.
Wamekuwa vinara kweli kweli huko mitandaoni pasipo kujua Kama hoja zao zimefika moja kwa moja ama la
Kiufupi wameshiriki kiakili wakati mwili waliuacha ushughulike na Mambo mengine na usionekane kwenye kikao kwa ajili ya kuwananga walioshiriki moja kwa moja.
Nb MMM na kigogo nifungulieni huko Twitani tusiwe waoga wa kukosolewa
Chadema ni kama katoto kajinga kanakozira kula huku Lana njaa. Na kadri kanapoona wengine wanakula na chakula kinaisha ndio kanazidisha sauti ya kulia ili kaitwe kale. Wanasaikolojia ya watoto wanasema, dawa ya haka katoto sio kukabembeleza, bali kukaacha kashinde au kalale njaa.Leo jijini Dodoma,kunaendelea kufanyika mkutano was wadau was siasa utakaomalizika Disemba 17 mwaka huu.
Katika mkutano huo viongozi was vyama vilivyoshiriki wamepata kuongea mbele ya Rais kupitia mwenyekiti was TCD ndugu Zitto Kabwe,ambapo Jambo kubwa alilomuomba Rais ni kuiunganisha nchi kwa kile alichoeleza kuwa imeparaganyika.
Akitumia kauli ya Askofu Shoo,Zitto amesema kubwa kwa Sasa lililobeba madhila ya kisiasa moja kwa moja ni kesi inayoendelea ya Mwenyekiti wa chadema Mzee Freeman Mbowe.
Amemuomba Rais ikiwezekana kikombe hicho Cha kesi kimuepuke Mzee Mbowe na wengine wenye madhila Kama hayo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi.
Kutokana na kauli hiyo ya Zitto,Rais Samia akaeleza ni muhimu watu wafuate Sheria na kuheshimu mamlaka,Mimi sitaki kuingia kwenye mjadala huo.
Maoni yangu nitayaelekeza kwenye uamuzi wa Chadema kabla ya mkutano na baada ya mkutano.
Kabla ya mkutano huo chadema walisema hawatashiriki kwa namna yeyote kwa vigezo walivyoviainisha.
Wakaenda mbali na kupitia kwa wanaharakati rafiki wa chama hicho Maria Sarungi na wengine wakaeleza matokeo yoyote yatakayotoa unafuu kwenye mkutano huo ni kwa sababu ya shinikizo la Chadema wenyewe kuususia.
Baada ya ufunguzi wa kikao hicho Cha wadau wa siasa Chadema kupitia Makamu Mwenyekiti Lissu na wanaharakati rafiki,wameanza kunyooshea vidole na kukosoa kile kilichozungumzwa na walioshiriki Kimwili na kiakili katika mkutano husika.
Kwa kuwa wao hawakushiriki Kimwili,wamepinga Yale yaliyoainishwa na wenzao ambayo kwa sababu ya uwepo wao Rais amejibu,hata Kama jibu halina mwelekeo.
Kwa Sasa wamejikita mitamdaoni kukosoa na kueleza wao wangeongea Nini na wangeshinikiza Nini.
Wamekuwa vinara kweli kweli huko mitandaoni pasipo kujua Kama hoja zao zimefika moja kwa moja ama la
Kiufupi wameshiriki kiakili wakati mwili waliuacha ushughulike na Mambo mengine na usionekane kwenye kikao kwa ajili ya kuwananga walioshiriki moja kwa moja.
Nb MMM na kigogo nifungulieni huko Twitani tusiwe waoga wa kukosolewa
Tupo mitandaoni mkuu,tunajadili sisi tungesema nini Kama tungeshiriki,ila kiukweli misimamo mingine inaumiza chama huku tukibaki kuwa ni watu tusiyoyumbishwa.
Tulikuwa na nafasi ya kufikisha maoni yetu hata Kama yasingefanyiwa kazi lakini dunia ingejua tulichotaka
Chadema ni kama katoto kajinga kanakozira kula huku Lana njaa. Na kadri kanapoona wengine wanakula na chakula kinaisha ndio kanazidisha sauti ya kulia ili kaitwe kale. Wanasaikolojia ya watoto wanasema, dawa ya haka katoto sio kukabembeleza, bali kukaacha kashinde au kalale njaa.
Ulitaka aachiwe mama yako?We Fikiria Chama Aachiwe Mnyika ndo Akiongoze.....Hapo kutakuwa na Maamuzi Ya Busara Kweli?
Hivi NCCR nao kwa nini waligoma? Waliwaiga nyinyi?