Chadema geukeni kiwe chama cha siasa, uanaharakakati umepitwa na wakati :LOWASSA

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Maneno haya yamesmwa na gwiji wa siasa nchini Tanzania huko jijini Arusha alipokua na semina elekezi kwa mamea wa majiji nchini kwa tiketi ya Chadema.

Lowassa ni mwanasiasa ambae amebobea hivyo wanachadema hatuna budi kuyafanyia kazi maoni haya.
Huu si Muda wa harakati tena, ni Muda wa kufanya siasa Safi. Na hii itasaidia kuondoa migongano na DOLA.
MBOE na Team yako kazi kwenu FATHER katoa maelekezo huna budi kuyaheshimu na kuyatekeleza kwa moyo mkunjufu.
 
leo nimeelewa kweli luwasa alinunua cdm na mbowe ni meneja tu.Kamwe hatuwezi kushka dola kwa style yake hi.mbowe ametuuza na tumerudi nyuma sna
 
Back
Top Bottom