CHADEMA Geita wamtolea uvivu Shibuda;Wataka aondolewa CDM

Hiki nikirusi ndani ya Chama atambae zake hana msaada wowote c kwa Chama tu bali kwa Tanzania kwa ujumla.

kabisa mkuu, huyu ni Gamba afukuzwe tu,arudi kwa magamba wenzake!
 
Huyu jamaa hafai hana hata sifa ya kuwasilisha maslahi ya jamii ndio maana hata magamba wenzie walikataa asigombee uraisi.chadema iliteleza kidogo kuwa na ndumilakuwili lakini we learn through mistakes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…