CHADEMA Geita mjini wanatwangana mda huu

CHADEMA Geita mjini wanatwangana mda huu

Kilosaone

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
411
Reaction score
224
Hawa wanachama wanapigana hapa mi naogopa kusogea karibu, ni hapa Ofisin kwao Kanisa la Roman Geita mjini.
 

Attachments

  • 1439827213037.jpg
    1439827213037.jpg
    25.8 KB · Views: 3,005
Acha mapepe wewe peke'ako unayeona hakuna mwengine atakuwahi kuanzisha uzi humu..so relax ulete habari iliyokamilika,unakaa mbali unapiga picha na kukimbilia kupost mitandaoni je kama wanapongezana baada ya uchaguzi kuisha na mshindi kupatikana,sogea karibu uthibitishe kinachoendelea ndo upate la kuandika.
 
Mzushi bana utamjua tu...mbona kuna boda boda tu kwenye hiyo picha
 
Uliona jinsi ccm wanavyopigana jimbo la busega.
Waziri mzimaaa anapigana na mtangaza matokeo.
Huo ni mfano tu ccm wanapigana kila kukicha.
 
Mbona hawajavaa gloves kama packman na mwenzio.. weka video
 
Nimei clarify hiyo picha,nimei zoom,nimeona!!! Watu wananunua samaki gengeni na bodaboda ama wakibishana au wakitaniana, nenda kalale tu mkuu,yaelekea ulitumwa nyanya hapo ila uliposikia watu wanabishana kwa sauti kubwa ukaogopa na kukimbia kwa woga,mwambie mama aende tu mwenyewe dogo langu,ila dah! Umezidi uoga
 
Nikweli Katibu wa jimbo kaondoka ofsini kwa defenda ya Polisi kupelekwa kwake,sasa sijui kama kesho atafungua ofisi
 
hao viogozi wa jimbo la Geita wanasitahili kipigo cha mbwa mwitu maana wanaweka tumbo mbele kuliko chama
 
Back
Top Bottom