CHADEMA fungueni mashtaka dhidi ya serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA fungueni mashtaka dhidi ya serikali

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mganga wa Jadi, Jan 10, 2011.

 1. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni dhahiri kwamba serikali imesabaisha fujo na mauaji ya watu wasio na hatia huko Arusha, wanasheria wa CHADEMA tunawaomba wawasilishe mashataka mahakamani ili wote walio sababisha yote haya wachukuliwe hatua. Hii ni pamoja na Mwema ambaye ndo first in the list kwa tamko alilotoa jioni ya siku iliyo tangulia mauaji hayo ya kinyama!!!!
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watu bado tuko kwenye msiba!!! Ngoja tuzike kwanza.
   
 3. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nikweli lakini tusiache damu za ndugu zetu zipotee!!
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  MAHAKAMA GANI ICC AU HAPA KWA JAJI Othman Chande Kikwete???/
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  MAHAKAMA YA ICC AU MAHAKAMA YA JAJI ROSTAM LOWASA KIKWETE CHaNDE?????????
   
Loading...