Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,693
- 26,213
Hamna cha aibu wala nini. Kesho tunaanza kukarabati banda letu la ufipa.For the moment mgonjwa kawaachia Acacia iendelee kuwaabisha ktk jukwaa kubwa mlilojiandalia ili makajipe sifa na kuchafua wengine wote.
Tangu lini umekuwa kibarua wa mafundi ufipa? Hapo ndipo chadema wamepiga bao mpira uliopigwa kwa chogo.Mbafuuuu, mnataka office ya nini, waambieni mateja wenu wafukue sana uchafu km kuna ndoo yenye chochote ktk hiyo dampo.Hamna cha aibu wala nini. Kesho tunaanza kukarabati banda letu la ufipa.
Tangu lini umekuwa kibarua wa mafundi ufipa? Hapo ndipo chadema wamepiga bao mpira uliopigwa kwa chogo.Mbafuuuu, mnataka office ya nini, waambieni mateja wenu wafukue sana uchafu km kuna ndoo yenye chochote ktk hiyo dampo.Hamna cha aibu wala nini. Kesho tunaanza kukarabati banda letu la ufipa.
Hujui kuwa mimi ni kamanda?Tangu lini umekuwa kibarua wa mafundi ufipa? Hapo ndipo chadema wamepiga bao mpira uliopigwa kwa chogo.Mbafuuuu, mnataka office ya nini, waambieni mateja wenu wafukue sana uchafu km kuna ndoo yenye chochote ktk hiyo dampo.
Big NOOOO! I concur with Nyerere. Ni mapema sana kuiachia familia kazi ya awamu ya pili ya matibabu ya Lissu (rehabilitation). Hata hivyo nina imani kuwa Chadema wamezingatia yote walipofanya maamuzi hayo!Mkuu hta ungekuwa wewe Kikao walichokifanya Familia ya Lisu na Serikali unaitafakari vipi? au nini hatima ya Chadema? Kwa ukweli Chadema na wadau wote did their best level mpaka hapa palipofikia mpaka watu wanabubujikwa na machozi kumuona Mh Lisu live and waving to Tanzanian and Friends,. But what was the motive behind kikao cha Familia na Serikali... Chadema through Mbowe should leave kila kitu kwenye mikono ya Familia now.@ Yeriko Nyerere
Mbowe, dili ni michango ambayo haikutangazwa hadharani, wewe huwezi elewa hili jamboNani amekamilisha dili na hilo dili ni dili gani?
Hujiulizi kwanini zile risasi 38 za kijeshi?Hivi Lissu alindwe ana nini, na ni nani katika nchi hii? Au kwa vile ameolewa na acacia?