CHADEMA endeleeni na vijembe, CCM ilani inatekelezwa

Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:-

REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)?

TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)?

Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo kuna Mwana CDM anayekatazwa kuzitumia sababu ya kuwa upinzani)?

Serikali kuhamia Dodoma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma sababu ya kuwa upinzani - hatuoni pia kiasi cha fedha kilichopungua sababu ya huduma kuwa karibu)?

Mikopo ya wanafunzi Elimu ya Juuu, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa mkopo sababu ya kuwa upinzani)?

Elimu Bila Malipo (Shule za Msingi na Sekondari), (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha sababu ya kuwa upinzani)?

Ulinzi na Usalama wa Nchi, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa ulinzi sababu ya kuwa upinzani)?

Uwajibikaji kwa Taasisi za Umma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma ofisini sababu ya kuwa upinzani)?

Makusanyo ya Ndani/Mapato ya Serikali, (Kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia miundombinu inayojengwa kwa kuwa ni mpinzani)?

Ujenzi wa Barabara za Lami (Mikoa yote), (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia barabara sababu ya kuwa upinzani)?

Ununuzi wa Ndege, (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kusafiri au kusafirisha sababu ya kuwa upinzani)?

CHADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO WAKATI CCM WAKITEKELEZA ILANI - NI KWA MANUFAA YA TAIFA (TANZANIA)
Mtoa mada kuna jambo dogo unasahau kuwa yote uliyosema sio ya CCM bali ni ya serikali na inatokana na kodi za wote pili umezungumzia TASAF ile ni mkopo wa World Bank wote tutalipa sio za CCM wala sio fadhila za CCM tusipoteshe umma. Nilihundhuria kikao cha mkuu wa mkoa mmoja hapa inchini anasema halmashauri hii tumetoa million kadhaa halmashauri hii tumetoa million hizi na nyie halmashauri ombeni fedha ukawa. Idiot, hata mkuu wa mkoa hajui fedha anazozungumzia ni kodi za watanzania wote poor Country we have decided to politicize everything.
 
Na hili?????
FB_IMG_15511965537560441.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kuna jambo dogo unasahau kuwa yote uliyosema sio ya CCM bali ni ya serikali na inatokana na kodi za wote"

Serikali inatekeleza Ilani ya Chama gani - CCM? au UKAWA?
 
Upumbavu ni kitu pekee duniani...
Sasa Point yako ni nini hasa?
Au unadhani hizo hela za kutengeneza hayo zinatoka Mifukoni mwa CCM badala ya Kodi za Watanzania wenyewe?
Nadhani ungelijua kuwa hata Hii bando ninayoitumia hapa nakatwa Kodi ya Kufanya hayo uliyoyataja basi basi usingendika upumbavu huu unaotaka Kuaminisha watu kama kwamba yanafanywa kwa pesa za CCM.
 
Kumbe kelele zote hizo mnapenda kupanda ndege bure!
CHADEMA mbona mnaniaibisha - ni nchi gani duniani ambako wananchi wake hupanda ndege bure!

We ndio umeanza kutamba kijinga sijui wapinzani hawapendi ndege kisa ni wapinzani. Nimekuambia wanapanda kwa nauli kama walivyopanda fast jet nk
 
Umetanga mbali - kinachoangaliwa ni huduma - CDM hili huwa hamlitambui kwa makusudi - mngeshika dola nini ambacho mngekiandika kama mafanikio ambacho kingetolewa bure?
 
Acheni kubadilisha matokeo ya kura kwa kutumia tume na vyombo vya dola kisha muonyeshwa maendeleo ni nini, ikiwemo na mabadiliko ya mifumo.
 
Kwa uchache tu nawakumbusha kwamba CCM kupitia Ilani yake imefanya mengi mazuri - kwa ufupi tu:-

REA II, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa umeme sababu ya kuwa upinzani)?

TASAF III, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha za TASAF sababu ya kuwa upinzani)?

Ujenzi wa flyover Dar, (Je, leo kuna Mwana CDM anayekatazwa kuzitumia sababu ya kuwa upinzani)?

Serikali kuhamia Dodoma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma sababu ya kuwa upinzani - hatuoni pia kiasi cha fedha kilichopungua sababu ya huduma kuwa karibu)?

Mikopo ya wanafunzi Elimu ya Juuu, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa mkopo sababu ya kuwa upinzani)?

Elimu Bila Malipo (Shule za Msingi na Sekondari), (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa fedha sababu ya kuwa upinzani)?

Ulinzi na Usalama wa Nchi, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa ulinzi sababu ya kuwa upinzani)?

Uwajibikaji kwa Taasisi za Umma, (Je, leo kuna Mwana CDM anayenyimwa huduma ofisini sababu ya kuwa upinzani)?

Makusanyo ya Ndani/Mapato ya Serikali, (Kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia miundombinu inayojengwa kwa kuwa ni mpinzani)?

Ujenzi wa Barabara za Lami (Mikoa yote), (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kutumia barabara sababu ya kuwa upinzani)?

Ununuzi wa Ndege, (Je, leo kuna Mwana CDM anayezuiwa kusafiri au kusafirisha sababu ya kuwa upinzani)?

CHADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO WAKATI CCM WAKITEKELEZA ILANI - NI KWA MANUFAA YA TAIFA (TANZANIA)
Sasa Chadema ina ilani ya kutekekeza? Au mnaandika tu kwakuwa mnalipwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom