CHADEMA Dodoma kumburuta Rage mahakamani

CHADEMA Dodoma kumburuta Rage mahakamani

2.jpg


Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!!
 
Rage au Rege? Bangi tupu. Kiboko yake Mzee Kapuya na yule Mzee Ndolanga. Tatizo la wajelajela ndio hilo kwani Nchimbi katuambia 40% ya walioonja jela hupenda kurudi jela. Rage Mjela-jela.

Mkuu wapo wavuta bangi ni wastaarabu kuliko Rage.
 
Huyu msomali RAGE kawachezea cheusi na chekundu wana simba wenzake, ninasikia pesa aliyoumwuza Okwi alinunua yote mafuta ya kwenye shell yake iliyo karibu na kituo cha daladala cha morocco halafu eti mpaka auze mafuta ndo anawalipa simba, anawalipa kwa mafungu mafungu.
 
Me sielewi ilikuwaje Msomali akaruhusiwa kuingia mjengoni, hawa walipaswa kuwa Kismayu au Algeita jangwani. Ndo maana wanatuletea tabia za bedwins!!!
 
huyu nzega alionyesha bastola, sasa anaongoza uchukuaji wa sheria mkononi, kama walivyo lea jambo la udini, wasipo angalia la huyu jamaa lita tufikisha kubaya
 
we ndo mbulula........na huyo alshabab subiri tunamfunga sasa.
siasa kaka umesikia wapi anafungwa mtu wangapi wamefungwa ktk mambo ya siasa hawanakazi za kufanya hao
 
Hii ni kesi ya jinai , Jamhuri mbona haijachukua hatua? Ingekuwa ni wabunge wa chadema wamehusika ungekuta wapo ndani tayari , hii ndio polisi tunayosema kuwa inafanya kazi kwa maagizo ya CCM
 
Rage usikate tamaa wewe ni zaidi ya wote hawa hawakuwezi kichapo umewapa na bado unaendelea kudunda
 
Ingekua vizuri mkawapa taarifa mpira pesa kuwa mwanachama wa simba amepigwa na Rage huko dodoma. Watamtoa madarakani nakwambia.
 
acha wadundwe. Mikutano isiyowahusu walifuata nini?? Halafu huyu Swai du
 
Back
Top Bottom