CHADEMA Dodoma kumburuta Rage mahakamani

CHADEMA Dodoma kumburuta Rage mahakamani

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
KUTOKANA vurugu zilizotokea juzi mjini hapa kati ya wafuasi wa CHADEMA na wale wa CCM, uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma umepanga kumburuta mahakamani Mbunge wa Tabora mjini, Ismail Aden Rage.

Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Katibu wa CHADEMA wilaya hiyo, Jella Mambo, wafuasi wawili wa CHADEMA wamefungua jalada la kesi hiyo na huenda leo akafikishwa mahakamani.

Mambo alisema kuwa wafuasi hao waliamua kumfungulia kesi mbunge huyo kutokana kuhusika moja kwa moja kuwapiga pale walipokuwa wamekamatwa na wakereketwa wa CCM.

Mbali na Rage, mwingine atakayehusishwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma Mjini, Shaaban Bwanga.

Waliofungua jalada hilo ni Idd Kizota ambaye anawalalamikia Bwanga na Rage kwa kumpiga ilihali Anord Swai akimlalamikia Rage kuwa ndiye aliyempiga.

SOURCE: GAZETI LA MWANAINCHI LEO

MY take
Rage anagonga vichwa vya habari kwa mambo yasiyo na maadili kabisa kama kiongozi, sasa vijana toka jimbo la Tabora mjini wataiga nini toka kwa RAGE? au wanasimba wanajifunza nini toka kwa RAGE. Hivi huyu ni Rage ni nani?
Wapiga kura wa Tabora mjini ninawaamini, na wana simba sport club ninawamini.
 
Nakosa raha ninavyoona huyu Rage ni mwenyekiti wa timu yangu ya Simba...ama kweli Simba tumeliwa...
 
Ukitaka taarifa za rage nenda pale Mpira pesa magomeni mikumi hawa wamepambana na Rage wakamshinda. Hahahaa
 
Msomali lini akaacha jadi yake? Wana Simba Sports jamaa anatuharibia taswira ya club yetu kongwe nchini.
 
Hivi rage ndo mwenyekiti wa simba sc?.Ndo maana tabora kweupe ,ukikuta mkoa unakosa hata watumiaji wa kile kinachozalishwa kwao weka 0 %

RAGE WEWE 00000000000000000000000%
 
Waharakishe sana kumburaza mahakamani, JELA ndiyo nyumbani kwake Ismail Aden Rage, and this time hakutakuwa na msamaha wa RAIS ataozea huko JELA/MAGEREZA. Rage is A NOTOROIUS CRIMINAL
 
Rage kamanda ungemtoboa jicho kabisa Yule Swai ili asikutambue mahakamani mbulula huyo
 
Rage au Rege? Bangi tupu. Kiboko yake Mzee Kapuya na yule Mzee Ndolanga. Tatizo la wajelajela ndio hilo kwani Nchimbi katuambia 40% ya walioonja jela hupenda kurudi jela. Rage Mjela-jela.
 
KUTOKANA vurugu zilizotokea juzi mjini hapa kati ya wafuasi wa CHADEMA na wale wa CCM, uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma umepanga kumburuta mahakamani Mbunge wa Tabora mjini, Ismail Aden Rage.

Habari zilizopatikana jana na kuthibitishwa na Katibu wa CHADEMA wilaya hiyo, Jella Mambo, wafuasi wawili wa CHADEMA wamefungua jalada la kesi hiyo na huenda leo akafikishwa mahakamani.

Mambo alisema kuwa wafuasi hao waliamua kumfungulia kesi mbunge huyo kutokana kuhusika moja kwa moja kuwapiga pale walipokuwa wamekamatwa na wakereketwa wa CCM.

Mbali na Rage, mwingine atakayehusishwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma Mjini, Shaaban Bwanga.

Waliofungua jalada hilo ni Idd Kizota ambaye anawalalamikia Bwanga na Rage kwa kumpiga ilihali Anord Swai akimlalamikia Rage kuwa ndiye aliyempiga.

SOURCE: GAZETI LA MWANAINCHI LEO

MY take
Rage anagonga vichwa vya habari kwa mambo yasiyo na maadili kabisa kama kiongozi, sasa vijana toka jimbo la Tabora mjini wataiga nini toka kwa RAGE? au wanasimba wanajifunza nini toka kwa RAGE. Hivi huyu ni Rage ni nani?
Wapiga kura wa Tabora mjini ninawaamini, na wana simba sport club ninawamini.

halafu aliepigwa ni mwanachama wa simba
 
Rage kamanda ungemtoboa jicho kabisa Yule Swai ili asikutambue mahakamani mbulula huyo

Utapata faida gani akitobolewa jicho? Wahi foleni ukapewe buku 2 za vocha,wewe na chama chako wote vilaza sishangai ukilipwa kwa hili
 
Rage [reɪdʒ] meaning: rage - definition of rage by the Free Online Dictionary, Thesaurus and Encyclopedia.

1. intense anger; fury
2. violent movement or action, esp of the sea, wind, etc.
3. great intensity of hunger, sexual desire, or other feelings
4. aggressive behaviour associated with a specified environment or activity road rage school rage
5. a fashion or craze (esp in the phrase all the rage)
6. Austral and NZ informal a dance or party
vb (intr)
1. to feel or exhibit intense anger
2. (esp of storms, fires, etc.) to move or surge with great violence
3. (Medicine / Pathology) (esp of a disease or epidemic) to spread rapidly and uncontrollably
4. Austral and NZ informal to have a good time
[via Old French from Latin rabiēs madness]
 
Huyu Rage mjerajera ni janga la ki-simba na ki-tabora, hasira za jela hazijaisha, bado kumtwanga live Manghi Yusufu
 
jamaa wa magwanda kama mgambo alipewa kichapo akawa analia kwa kichaga!
 
Hiyo ndio haina ya baadhi ya viongozi wa c.c.m,watu wazima vichawani kweupe,unategemea vijana wanao wa support watakuaje?wana uwezo wa kujitambua na kujenga hoja kweli?
 
Back
Top Bottom