Chadema daima mbele , nyuma mwiko

benny50

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
20
Reaction score
7
Chama cha chadema ni chama kinachokubalika sana mbele ya watanzania, nitashangaa kama kutakuwa na kijana wa leo ambaye atakuwa anakishabikia chama fulan hivi kinachotawala sasa hivi hapa tanzania.
Ninachoweza kusema, tukiombee kwa mungu kizidi kusimama na kiwe imara mpaka hapo kitakapochukua dola. Nasema kinaweza, chamsingi chama kijiadhali na mamluki wanaoweza kwa namna moja ama nyingine wakaingia kwenye chama na kuleta aina ya mtafaruku ambao unaweza kukiharibu chama chetu. Cha msingi tumuombe mungu, safari ambayo imeanza tuimalize salama..hakuna marefu yasiyo na ncha na nadhan chadema inakuja kuutimza msemo huu kwa kuchukua nchi.
Chadema mbele.....daimaaaaa
 
mkubwa!hapo umenena,kuna vijana bado wanashabikia wakizani riz atawatoa,kumbe na yeye anawaza wapi atakimbilia 2015
 
@RUHAZWE, chamsingi kaka watu kama hao tunaachana nao tu, sisi tuaangalia mustakabali mzima unavyoenda wa chama chetu aka mkombozi wa taifa la tanzania, mimi nasema tuungane kwa nguu zote ili tutimize lengo..
 
Imekuwaje tena,"pipoz pawa" imeanza kupoteza mvuto nini? hiyo "Daima mbele,nyuma mwiko" ni kauli mbiu ya Yanga,CDM hawana hati miliki nayo.
 
kama hii picha
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1338914127272.jpg
    5.2 KB · Views: 152
Anselm,
kauli mbiu ya chadema ni kama ipo vile vile, huo ni msistizo tu tunatakiwa tusnge mbele zaidi , zaidi ya hapa, mvuto wa chadema hakika nadhan hata wewe unaujua, uwe mwepesi wa kuelewa na si kuongea tu na kuweka picha zako zisizo na maana, we kijana mzima unavaa shuka hilo la kijani? chadema tunasonga mbele, na maneno yako tu yanajidhihirisha ni mfuasi wa ridhiwan.....chadema ni wembe kaka, ukisogea unakata...chezea chadema wewe!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…