kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,434
Tukiangalia kwa undani na ukweli 2015 zile kura ml 6 tulizopata,zetu halisi ni ml 2 tu, cuf ni ml 2 na ml 2 ni ccm wenyewe ambao walipiga kura kwa chuki ya mtangaza nia wao kukatwa.
Sasa tujihadhari na watu wanaondoka kwa hasira,kwa vile yule walie mchukia kila kukicha anafanya vizuri ni rahisi kurudi kwenye chama chao,sababu hatuwajui kwa sura.
Sasa hapa ni lazima uongozi uje na mkakati makini wa kutupatia mgombea makini,kupata kura ml 10.
Tusisubiri kufanyiwa kazi na Tanzania daima au mtanzania.
Maana magufuli ameiba siasa zetu na mikakati yote alianza na M4C mwisho sera na utendaji.