kufa kwa nyani miti yote inateleza,wamejaribu kutumia Zito wapi!Wanapo mtuma Zito wao Kigoma,Makete vijiji vina ondoka kuangukia cdm.Chadema kwakweli imeota mbawa haikamatiki.Wenyewe wana kumbukumbu ya Mrema na NCCR wakifikiri Watanzania wa wakati huo ndio wa sasa.Huwezi kuua cdm kwa remote hivyo chama kimejijenga hiki.Kutumia mtu mmoja hata angekuwa Mbowe cdm haifi.
Kuwa mgombea upande wa CCM lazima utimize moja ya masharti🙁a) Kuiba kura (b) kutumia ushirikina(c) kununua mgombea upande wa mpinzani (d) hata nyenzo kama milipuko uwe na uwezo wa kutumia (e) akili kama ya samaki
Kamanda yatendee haki maji yangu pendwa na ninakunywa muda huu, ccm haifai kuthaminishwa hata na kopo la maji ya kilimanjaro, labda ccm na jiwe. Tunashukuru kwa operation zao za kutokomeza raia maana watanzania na hasa wa vijijini wagumu kuelewa elimu ya uraia, zaidi zaidi mpaka waguswe moja kwa moja na ma-operetion ya kuwatokomeza ndio wanaelewa ccm ni kaburu wa aina gani............
yaani hii itakua aibu kuu kwa maccm, hivi sababu ya watu kugoma kugombea ni nn? kwa hiyo hakuna kura za maoni huko kipindi hiki? kweri hii ndio natural derth
Achana nao hao magamba ndiyo yanaishia hayo,wametutesa vya kutosha. Kama vp Akasimame mtoto wa mkulima,si wao wanapeana nyidhifa hata tatu tatu kwa mtu mmoja.
Kuwa mgombea upande wa CCM lazima utimize moja ya masharti🙁a) Kuiba kura (b) kutumia ushirikina(c) kununua mgombea upande wa mpinzani (d) hata nyenzo kama milipuko uwe na uwezo wa kutumia (e) akili kama ya samaki