Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
japokuwakuna dalili za wazi chadema bunda kupita bila kupingwa katika uchaguzi mdogo kata nyasura nasema hivyo kuwa sababu nipo bunda kwa sasa hivi na ccm hawajapata mgombea hata viama vingine nazo pia.
Hii nikuwa mjibu wa kamati ya siasa ccm wilaya ya bunda.
ifweero aende kugombania
jina lake tu ni KITISHO kwa wapiga kura !
labda madiwani wanaogopa sura ya mbunge wao
hata akienda Warioba Nyasura anapigwa chiniYaani hata Wasira hawezi kugombea?
hata huku Arusha nako ajapatikanaKuna dalili za wazi CHADEMA Bunda kupita bila kupingwa katika uchaguzi mdogo kata Nyasura nasema hivyo kuwa sababu nipo Bunda kwa sasa hivi na CCM hawajapata mgombea hata vyama vingine navyo pia.
hii nikuwa mjibu wa kamati ya siasa ccm wilaya ya Bunda.
Kwa nini asi saidie kugombea Zito,maana naona cdm wanampiga chiniNi ajabu na kweli; CCM is dying a natural death, kimechoka na kimechokwa. Kama alivyosema Mh. Msigwa; CCM ni Chama Chakavu.
haya mambo ya kichaga nayo unayatoa wapi.Nimeangalia kny kamusi, yaonesha ifweero ni jina la kichagga (nilipitia shule huko kwao moshi), lina maana na Kipoozeo!
sasa hapo ndo pana shida ni kipoozeo katika muktadha gani: mwanamke ' it can be! ila kama ni mwanaume mmm! s..ga?