Hadi sasa, binadamu yeyote angeshasema basi inatosha. Leo Mnalia mitandaoni na Press Conference za Hovyo. Heche, Mnyika, Sugu, Msigwa et al.....mnategemewa sana, ila nanyi mmeonyesha ni wale wale. Hii haivumiliki, mstari mwekundu umevukwa. Enough is enough. Mass action ndio dawa.
Esther Bulaya, na Halima Mdee hawa wanaume wameonyesha ni wale mbwa koko wa kuficha mikia ikitishiwa. Hawafai, hawawezi kuongoza ukombozi, na ndio wengi wamenunuliwa. Hata wakina mama kama Harriet Tubman walileta mabadiliko