CHADEMA bila matusi itakuwaje?

Lusinde naye ni Chadema ?
 
Matusi gani,ebu yataje hayo matusi tuyasikie..alafu pia rejea yule kichaa wenu lusinde kule arumeru..alikuwa anahubiri injili takatifu eti??? Ushabiki banaa..

Ni shidaa tu
.
 
Sikuwa najua Lusinde yupo CDM?
 
Hivi serukamba ni chama gani vile??????????

Bora anayetukana ila anawashibisha wanae, kuliko mwizi, mzandiki, mshirikina n.k
 
Wape wape vidonge vyao, wakitema au wakimeza ni shauri yako...! CDM sio chama.bali.ni NGO ya Mtei na Mkwe wake, eti nae muasisi wa chama analipwa kiinua mgongo kila mwezi mpaka atakapokufa!..
 
Sikuwa najua Lusinde yupo CDM?
 
Mitandaoni wafuasi wa vyama vyote wamo watukanaji, ukiingia upande wa viongozi kuna watu kama lusinde. Huyu ni mtukanaji mwandamizi, akifuatiwa na Peter Serukamba, juma nkamia, Mwigulu nchemba,..........
 
Chama kinaongozwa na watu waliotelekeza familia zao,mboe kazaa na mbunge viti maalumu na slaa ana kesi ya kunyang'anya mke wa mtu na kuzaa nae.sasa hawa wanafanya matusi kwa vitendo,washabiki wao ni kutukana na fujo.ndio maana mama kamili anaendelea na kesi mahakamani.
 
Matusi gani,ebu yataje hayo matusi tuyasikie..alafu pia rejea yule kichaa wenu lusinde kule arumeru..alikuwa anahubiri injili takatifu eti??? Ushabiki banaa..

Ni shidaa tu
.

Tusi halitumwi ww, kua na adabu.
 
yawezekana ikawa ni sababu
 
Mitandaoni wafuasi wa vyama vyote wamo watukanaji, ukiingia upande wa viongozi kuna watu kama lusinde. Huyu ni mtukanaji mwandamizi, akifuatiwa na Peter Serukamba, juma nkamia, Mwigulu nchemba,..........

mnasema hiki ni chama kilichoanza na MUNGU?ni yupi huyo anaekubali mitusi yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…