Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
CDM bila matusi haiwezekani. Wafuasi wao wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo hivyo wanakimbilia matusi badala ya kujenga hoja!
Lakini nadhani ni Culture ya Chama maana wakati wa Bunge la Katiba kuna kiongozi mmoja alimsema Mwl. Nyerere kwa maneno yasio na staha kabisa na siku sikia wakiomba msamaha!
kuna matusi zaidi ya hii dhiki iliyosababishwa na ccm ?nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
Ulitukana wapi? embu pitia post ya kina Asadsyria kuhusu mchungaji na josephine Mushumbushi the urudi hapa utuambie nani mtukanaji na hovyo! siku nyingine tumia kichwa kufikiri sio hicho kiungo ulichotumia kuleta post hii kilichopo chini kidogo ya mgongo ambapo kimsingi wewe unakitumia kama investiment kuburudisha wakware wasio na aibu