VP huanzishi nyuzi, lile salio limekata ghafla?Akili za UKAWA wote zinazidiwa na uwezo wa Zitto Kabwe
HBR WANAJAMVI!
NAJARIBU KUANGALIA HALI YA KISIASA NCHINI KWA SASA NA NIMEGUNDUA KUWA KUNA TOFAUTI KUBWA WAKATI CHADEMA IKIWA NA DR. SLAA NA YA SASA BILA DR. SLAA. SIJAONA KUIBULIWA KWA HOJA NZITO ZENYE MASHIKO, SIJAONA MIKAKATI ENDELEVU SIJAONA LOLOTE NAONA TU CHAMA KIKIRUDI CHINI CHINI ZAIDI NAWASHAURI CHADEMA KAMPIGIENI MAGOTI DR. SLAA ARUDI AWAPIGE KIKI!
Chadema imebaki kuwa ni kitchen partyHBR WANAJAMVI!
NAJARIBU KUANGALIA HALI YA KISIASA NCHINI KWA SASA NA NIMEGUNDUA KUWA KUNA TOFAUTI KUBWA WAKATI CHADEMA IKIWA NA DR. SLAA NA YA SASA BILA DR. SLAA. SIJAONA KUIBULIWA KWA HOJA NZITO ZENYE MASHIKO, SIJAONA MIKAKATI ENDELEVU SIJAONA LOLOTE NAONA TU CHAMA KIKIRUDI CHINI CHINI ZAIDI NAWASHAURI CHADEMA KAMPIGIENI MAGOTI DR. SLAA ARUDI AWAPIGE KIKI!
Wewe ndiye Dr Mihogo mwenyewe unajipigia upatu nini! Bunge mbona bado hata halijachanganya hoja nzito nzito gani? Hata kamati za bunge haxijakamilika unaongekea hoja nzitonzito? Si ndio kwanza bunge linajipanga kwa kuunda kamati zake na kambi nayo kujipanga kws kuunda baraza lake?Chadema imebaki kuwa ni kitchen party
Wewe utakuwa mfuasi wa Lowassa, huijui chadema.Dr mihogo hana lolote acheni kumsifia bure?
Mruhusu mikutano yetu muone kama tumepwaya.HBR WANAJAMVI!
NAJARIBU KUANGALIA HALI YA KISIASA NCHINI KWA SASA NA NIMEGUNDUA KUWA KUNA TOFAUTI KUBWA WAKATI CHADEMA IKIWA NA DR. SLAA NA YA SASA BILA DR. SLAA. SIJAONA KUIBULIWA KWA HOJA NZITO ZENYE MASHIKO, SIJAONA MIKAKATI ENDELEVU SIJAONA LOLOTE NAONA TU CHAMA KIKIRUDI CHINI CHINI ZAIDI NAWASHAURI CHADEMA KAMPIGIENI MAGOTI DR. SLAA ARUDI AWAPIGE KIKI!
Hoja yako inapingana na kauli ya mmiliki mpya wa chadema, kubwa 2020 atagombea yeye!Uadilifu wa CHADEMA uliondoka na Dr Slaa, alifanana na matazamio ya masikini wengi. Lakini CHADEMA wapo kwenye nafasi ya kutafuta mgombea urais kijana ambaye ndani ya miaka minne kabla ya uchaguzi mkuu ujao, anaweza kutembea nchi nzima na kurudishia imani iliyopotea kuhusiana na uadilifu wa upinzani.
Itakuwa ni hasara kwa upinzani kwa mara nyingine, ukifanya kosa moja unapaswa kujifunza ili next time mambo yaende sawa.Hoja yako inapingana na kauli ya mmiliki mpya wa chadema, kubwa 2020 atagombea yeye!
Ndo maana wenye akili tukasema upinzani kuingia ikulu ni baadae sana.Itakuwa ni hasara kwa upinzani kwa mara nyingine, ukifanya kosa moja unapaswa kujifunza ili next time mambo yaende sawa.