Mvaa Tai is trying Delete this thread!CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Naona upo kwenye club za gongo ndio glass ya ngapi?CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA
Hao waliosifiwa miaka hamsini wamefanya nini?Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA
CCM kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.
Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!
Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Siamini macho yangu, kumbe Mbeya nayo ni source ya ZYAPUNGAs. Pumba zinatemwa kwa kwenda mbele!.. Hata maisha ya nduguzo yakiwa hatarini bado unaendelea kutetea wauaji! ..Siku hizi CDM inamiliki silaha? Serikali iko wapi wakati silaha hizi zinatumika? Mwangosi kauawa kwa bomu la CDM? Dr. Ulimboka alipigwa na CDM? Mwakyembe na Mwandosya walikuwa poisoned na CDM? MAFILIFILI NI JANGA LA MBEYA!.CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki! Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu