CHADEMA asilia waja juu

CHADEMA asilia waja juu

Lowasa hawezi kuwa rais wa Tanzania chini ya katiba ya 1977. Akikataa matokeo ya uchaguzi ataleta mauaji kwa hiyo msilazimishe watu kuamini kuwa atashinda saa 4 asubuhi kama anavyodai yeye kwenye mikutano yake. Sana sana Ukawa wanamtumia tu awapatie wabunge na madiwani wengi kwani nao wanaamini hafai kuwa rais kwani si mwadilifu.
 
Lowasa akishindindwa kuupata urais Mzee Mtei na mzee Ndesamburo watampigia Dr Slaa magoti arudi kwenye kazi yake ya ukatibu mkuu na kuimarisha chadema.
 
Back
Top Bottom