CHADEMA asilia waja juu

CHADEMA asilia waja juu

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
HIVI KWELI YOTE HAYA CHADEMA HAWAKUWA NA UHAKIKA NAYO KUMHUSU LOWASSA?
Swala la Lowassa ni swala ambalo nilinakula kote.

Yaani aidha ni Kweli Lowassa ni Fisadi au Chadema ni wanafiki,Wazandiki na wazushi.
Ili Lowassa au Chadema wabaki salama ni kufanya moja kati ya yafuatayo.

Chadema kupitia mkutano mkubwa wa hadhara waendelee kumtangaza Lowassa kama fisadi papa ili Chadema ijivue na tuhuma za Uzushi,uzandiki na ulaghai wa kisiasa.hapo chadema watakuwa consinstent katika hoja zao.

Kama hawawezi kuendeleza msimamo wao,basi waitishe mkutano na kumsafisha Lowassa kuwa wakati wanamchafua walikuwa wanazusha ,na kufanya siasa za maji taka.

Hapo Lowassa atabaki salama na tutamuamini kuwa ni Kamanda asiekuwa na uchafu.
Vinginevyo ni kuwachezea akili watanzania na kuthibitisha kuwa Chadema ni wajasiliamali wa kisiasa,niwatu wajanjawajanja na wasiofaa kuaminiwa.
 
HII INAONESHA JINSI GANI CCM MMEISHIWA HOJA ZA KUWASAIDIA WATANZANIA. We endelea kuzusha uongo na kuhangaika na UKAWA ila October tutamchagua huyohuyo LOWASSA na wagombea wa UKAWA.
 
Nasikia sio bk 7 tena .... anae post sana analipwa zaidi.... ahsante kwa post yako isiyo beba uhalisia hasa kwa hoja yako ya kwanza....
 
Miaka 50+ ya uhuru, tanzania ni maskini wa kutupwa, kisingizio... ukawa...!!!!!!
 
Umepoteza usingizi wako bure kuandika utumbo huu,hata hustahili kujibiwa. "shule mnafunzwa ujinga?"-faiza foxy
 
Lowassa ni Raisi wa Tanzania ajaye

Hapa kazi tu tena Mara hii tunaburuza kwa 90% zenu 10% kama kwenye serikali za mitaa, na sahivi kwa vile mmeyalamba mavi yenu hapo kwa hiyo %hatubahatishi katu ..HAPA KAZI TU.
 
Lowassa ni Raisi wa Tanzania ajaye

Hapa kazi tu tena Mara hii tunawaburuza kwa 90% zenu 10% kama kwenye serikali za mitaa, na sahivi kwa vile mmeyalamba mavi yenu hapo kwa hiyo %hatubahatishi katu ..HAPA KAZI TU.
 
Mwaka 2010 wengi wa wanaJF,wanachadema na wanaojiita wana ukawa leo hii waliamini matokeo ya uchaguzi mkuu yalichakachuliwa na ikafikia hatua ya Chadema au tuseme upinzani kususia kikao cha bunge huku rais akiwemo ndani.

Baada ya hapo malalamiko yalikuwepo na Dr Dlaa aliendelea kuitwa Rais wa mioyo ya watu.

Kwa jinsi anavyojieleza na kuungwa mkono ns Chadema asilia na kutukanwa na Timu lowassa iliyochukua nafasi ya bavicha na ukweli usiopingika Slaa anabaki kuwa Rais wa mioyo ya watanzania waliouchukia ufisadi.
 
Ni kweli kabisa usisahau kumpa na saburi
 
Hivi Uchaguzi Urais 2015, Alipata Kura % Ngapi? Kama Hakulinda Kura zake Hatufai tens kwa mud a Huu.
 
Back
Top Bottom