Mimi ni CHADEMA asilia, 2005 nilimpa Mbowe kura yangu, Vijana wakanibeza baada ya hapo wakaanza kulalamika wao na viongozi wao, 2010 nikampigia Dr.Slaa kura zetu zikachakachuliwa, ila mpaka leo bado naamini dokta alishinda 2010, ila kuna baadhi ya vijana walitubeza. Je leo yako wapi? waliotubeza ndo maisha yamewapiga wana laamu kuliko hata sisi waasisi wa kukataa utawala wa CCM. Ila uchaguzi huu CHADEMA niliyoiamini na kuisemea na kujivunia imenikatisha tamaa sana. So kura yangu lazima nimpe John Pombe Joseph Magufuli angalua anajitambulisha kwa uchapa kazi na record ya utendaji kazi wake na kuwawajibisha walio chini ya ina mnadi. Je Lowassa ana kipi alichofanya nchi hii cha kujivunia? Je Lowassa alishawahi kumwajibisha nani kule kote alikofanya kazi?