CHADEMA Arusha mahakamani ktk picha

Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!

lema hatafuti umaarufu wala lema hanashida na umaarufu nani kakuambia lema anataka sifa kama ole sendeka na nape acha umbayumbayu arusha hatutaki sifa bali nyie ccm na polisi wenu mnatuchakoza sasa tukijibu mapigo mnaona tunatafuta umaarufu wakati hatuna shida na umaarufu lema katufundisha uja SIRI
 

Waoooh Rejao! Hongera. Naona ushafanyiwa ile Operation ya Ngozi, umebadilishiwa na kuwekewa ya Kitimoto. Umefanyia wapi? India au??
 
Inaonekana ulinzi ulikuwa umeimarishwa vya kutosha..polisi,greenguard
 
CCM haiwezi kufa...Baraza hata likivunjwa, litajengwa tena upya na CCM! Tuna man power ya kutosha tena in excess, huwezi kutucompare na hao 23!!!


Manpower na uchumi wa kupaa!! Kigoma kama Dubai! Hii manpower labda powertiller!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…