Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
- Thread starter
-
- #21
Wewe sheikh ubwabwa unataka jipya kutoka arusha kwani umeskia arusha ni music band???? umaarufu sio wakati wake huu, since uchaguzi upite mpaka sasa Mbunge wa arusha mjini bila kushurikiana na halmashauri anasomesha watoto 417 wasiokuwa na uwezo, je mtu huyu ni wa kutafuta umaarufu tena???Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!
Kinachotafutwa siyo hicho bali ni kum keep Lema busy na makesi ili ajisikie fresh. Kesi hiyo hata tarehe 20.12.2011 itaahirishwa.
Wewe sheikh ubwabwa unataka jipya kutoka arusha kwani umeskia arusha ni music band???? umaarufu sio wakati wake huu, since uchaguzi upite mpaka sasa Mbunge wa arusha mjini bila kushurikiana na halmashauri anasomesha watoto 417 wasiokuwa na uwezo, je mtu huyu ni wa kutafuta umaarufu tena???
Kinachotafutwa siyo hicho bali ni kum keep Lema busy na makesi ili ajisikie fresh. Kesi hiyo hata tarehe 20.12.2011 itaahirishwa.
alipata kibali cha kufanya huo mkutano?...................... au polisi walishakubali yaishe??....................
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
We mbona unakua ka *****ya?Wakiandamana ooh Chadema wanafujo,wasipoandamana unawataka waandamane ,acha PUMBA.Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
Mjinga wewe kama huna la kusema nyamaza!!!!!!!!!!Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
Kwa kweli leo hapa hata CDM wenzenu wamewakimbia, wamekosa cha kusema! nashangaa thread inayoihusu CDM hata haijafikisha page mbili! Au wote wanaafua magwanda kwa ajili ya maandalizi ya kuingia ikulu kumwona baba mwenye nyumba?Mjinga wewe kama huna la kusema nyamaza!!!!!!!!!!
Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!
Nipo...lete shida yako fasta! Viongozi wenu watampigia magoti President JK...nyie undergrounds nipigieni magoti mimi!!!rejao kasepa
Lema hajapata nafasi ya kwenda Ikulu kumuona JK? Au ndio maandano yaanazia Arusha mpaka Ikulu?
Nipe taarifa mkuu!
Rejao a.k.a mpoki wa ZE COMEDY,Pumba mwanzo mwisho...!!!IdiotKwa kweli leo hapa hata CDM wenzenu wamewakimbia, wamekosa cha kusema! nashangaa thread inayoihusu CDM hata haijafikisha page mbili! Au wote wanaafua magwanda kwa ajili ya maandalizi ya kuingia ikulu kumwona baba mwenye nyumba?
Nakuona kama kingungekingunge vile akili imechooooooooooka!! ka nini sijuiArusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo
wewe wenu?
Huu uandishi upeleke kule facebook...mbona umepata taarifa?ulkw untk uckie kwa mackio ilhali hauko arusha?mbona una taarf ss.kwan kulkuwa na maandamano/vurugu?
Una uhakika Kingunge kachoka? ulishawahi kumuona analialia kama vijamaa vya magwanda?Nakuona kama kingungekingunge vile akili imechooooooooooka!! ka nini sijui
Karibu Jamiiforums...jisikie nyumbaniRejao a.k.a mpoki wa ZE COMEDY,Pumba mwanzo mwisho...!!!Idiot
Wanafiki ni wale wanaojidai kususa na kutoka nje ya bunge ilhali kesho yake wanaenda kumpigia magoti yule yule waliyesema hawamtambui!!Peleka unafiki wako ddm! Period!
Kweli kabisa...magwanda wameishiwa sera! Tukoncentrate tu kwenye uzinduzi wa Albam yetu mpya ya Anti virusjipya hamna
Babu mwenye doctorate ya sheria za kanisa yuko wapi? au yupo busy na kichanga chake?Ingekuwa imekwisha wewe na gamba lako lilioshia chini ya kiuno usingecomment!
Tatizo wewe bado mdogo sana hapa JF...ukikua utajifunza..karibu lakini!!We mbona unakua ka *****ya?Wakiandamana ooh Chadema wanafujo,wasipoandamana unawataka waandamane ,acha PUMBA.
Tunawasubiri kwanza mje kutupigia magoti ndio tuwape conditions...baada ya hapo tutajua what is nextmshajivua gamba!...au ndo mmekubali kufa nayoo?
Huyu ni among watu walioingia kwenye siasa kwa pupa! Angetafuta kwanza ushauri kutoka kwa wakongwe kama akina Zitto! Atapotea vibaya sana!!kwani amekwambia anapenda makesi? mwulize ndugu yako rejao kwa nini Lema kila siku akiongea na wananchi anafunguliwa kesi mpaya isipokuwa leo, sijui kwa kuwa wako DODOMA?
Acha mawazo finyu CCM kwani chama cha malaika kama kufa kitakufa tu kama kinafanya blandazi bana.... Ahaaaaaa!CCM haiwezi kufa...Baraza hata likivunjwa, litajengwa tena upya na CCM! Tuna man power ya kutosha tena in excess, huwezi kutucompare na hao 23!!!