Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
alipata kibali cha kufanya huo mkutano?...................... au polisi walishakubali yaishe??....................
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
maandamano madogo yalifanyika kama kawaida ila hayatasikika kwa sababu polisi hawakuleta vurugu kama awali.Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
Lema hajapata nafasi ya kwenda Ikulu kumuona JK? Au ndio maandano yaanazia Arusha mpaka Ikulu?maandamano madogo yalifanyika kama kawaida ila hayatasikika kwa sababu polisi hawakuleta vurugu kama awali.
mkuu unajuwa maana ya mkutano lakini??kwa hii sentensi yako nina mashaka hujui,mwanzisha thread amesema amefanya mkutano au alikuwa tu anaongea na wananchi wake baada ya kutoka humo ndani??
bila shaka umeridhika na majibu ya wadau, ndo maana una hama mada from Arusha to Dar. stick @ one point please, na ukijibiwa ukardhika apriciate basiLema hajapata nafasi ya kwenda Ikulu kumuona JK? Au ndio maandano yaanazia Arusha mpaka Ikulu?
Nipe taarifa mkuu!
Think critically sheikh.Lema hajapata nafasi ya kwenda Ikulu kumuona JK? Au ndio maandano yaanazia Arusha mpaka Ikulu?
Nipe taarifa mkuu!
Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!bila shaka umeridhika na majibu ya wadau, ndo maana una hama mada from Arusha to Dar. stick @ one point please, na ukijibiwa ukardhika apriciate basi
Kwani Appolo Mmeshapeleka Wangapi Kimya Kimya!! Du Mtabaki Nyie Wenye Vichwa Vyenye Upara Usiokuwa Na Hata Chembe ya Akili!! Hadi Aibu!!Mbona hii kimya kimya? kweli CDM bila vurugu na maandamano hakisikiki! Fanyeni basi maandamano ili tusikie uwepo wenu?
Leo katika mahakama kuu ya arusha ilikua ni siku ya kusikilizwa kesi ya inayomkabili Mh. Lema na wanachadema arusha. Kesi imehairishwa mpaka tarehe 20.
Nje ya mahakama Mh.Lema akaongea na wanachadema waliokuja kusikiliza kesi iyo.
Mh Lema alizungumzia msimamo wao kuhusu mswada kuwa CDM hawatarudi nyuma.
Wananchi waliokuwepo mahakamani hapo wakamlalamikia kuhusu mabaunsa(green guards) wa CCM wanawatishia kwa kosa la kuishabikia CDM Lema akasema " jamani mbona mnataka kuniangusha..? nyie ni makamanda msiogope vitisho ili tusonge mbele tujikomboe,mbunge sio lazima akufanyie kila kitu,so msikubali kutishiwa ilimradi hamuui mtu wala hamvunji sheria".
Pia Mh. Lema akasema watafuatilia uonevu huu wa mabaunsa(green guard) wa CCM dhidi ya wanachadema wa arusha, pia kamati kuu ya chadema itaripoti tatizo hili ktk chombo husika ;
Mwisho Lema akawatakia wananchi wa arusha maisha mema na wafunge mikanda km makamanda,kesi mpaka tarehe ishirini.
CCM haiwezi kufa...Baraza hata likivunjwa, litajengwa tena upya na CCM! Tuna man power ya kutosha tena in excess, huwezi kutucompare na hao 23!!!CCM inakufa rasmi leo. Soon tutasikia baraza la mawaziri na bunge limevunjwa
Arusha hamna tena Jipya....ndio maana imepita kimya kimya, Umaarufu wa Lema umekwisha! Inabidi aumize kichwa sana kutafuta njia ya kukubalika tena na jamii!
Turudi kwemye current issue ya CDM kwenda kujikomba kwa Rais wa Nchi! CDM imetia aibu!!!!