CHADEMA Ardhini, CCM na Serikali yake Angani

Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.
Sawa kabisa, hawana lolote, je nao magamba na wenyewe utawasemaje?
 
Kwa hili ccm wamepigwa bao la kizigino. Watake wasitake huo ndiyo ukweli wenyew!
 
Rafiki wa kweli utamjua wakati wa matatizo pindi yanapokupata. Viva chadema kwa kuwa karibu na walalahoi wa kitanzania na kuyaangalia matatizo yanayowakuta kwa jicho la karibu sana. Keep it up guys
 

Hata mwanachama wa kawaida wa chadema asiye kiongozi hawezi kuchukua ama kufuata ushauri wako. Kwahiyo kwa kiongozi hawezi kuthubutu hata kufikiria kuutafakari ushauri wako ambao kimsingi si ushauri.

Kama ushauri unaowapa ccm ndio ule wa kupeleka misaada mchana na lundo la wanahabari kisha kurudi kuipora usiku, ni mtu asiyetumia akili yake vizuri ndiye anaweza kukusikiliza.
 
Hayo ni wewe umeyasema. Kupenda kujibaraguza kutawaponza wana CDM.
 
Hv hujui kuwa ccm ndio dola cdm lazima wajikoshe kabla ya 2015 2takuwa na serikal za mitaa,majibu yatapatikana
 
leo ndo nimeamini ukiwa magamba is job true true,any way kigumu chama cha mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…