help the members to translate the story in swahili.
u posted a very important issue but u lack communication skill
ehelp the members to translate the story in swahili.
u posted a very important issue but u lack communication skill
e
Kweli Elimu yetu ya Bongo Matatizo; Kweli wewe Umepewa kazi Ofisini? Au wakenya wanakongoza?
Kama Una Elimu ya Darasa la Saba nitakusaidia kutafsiri...
Lakini kama ni hivyo unajifanya Mjanja... U CAN GO 2 HELL
Mpumbavu wewe na mjinga kabisa! Wewe unasema hii propaganda wakati mtu kapotea? mimi ni CCM ila sishabikii ujinga wa aina hii!Propaganda za kitoto
Jeshi la polisi mkoani arusha linachunguza utata wa kutoweka kwa shabiki wa chadema mkoa wa arusha,huku m/mkiti wa uvccm Benno malisa akitiwa kikaangoni.Taarifa toka cetral police arusha zimenithibitishia kuwa bw Abdul matelephone mkazi wa sakina mara ya mwisho alikuwa kakwaruzana na Benno usiku ktk ukumbi wa Triple A na baadaye kutoroshwa na watu wasiojulikana ivyo kutofahamika alipo mpaka sasa.
Nyongeza ya nini? Acha kufikiria kwa masaburi wewe mwanamke.tuhuma hizi zinaacha mashaka kisheria kugombana au kuwa na mtu aliyetoweka kwa mara ya mwisho si kigezo pekee cha kumtia mtuhumiwa malisa hatiani ni kigezo kinachohitaji nyongeza.