CHADEMA: Adui yetu ni CCM, sio mtu wala sio umaskini

CHADEMA: Adui yetu ni CCM, sio mtu wala sio umaskini

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
7,930
Reaction score
991
Katika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa.

Kauli za kustua wengi hivi sasa ni pamoja na kusema kwamba wao wanapambana na CCM waitoe madarakani na sio wimbi la umasikini wa kipato unaomkabili mtanzania na kwamba sio watu kama Lowassa.

Kwamba Lowassa ni msafi na hana chembe ya doa.

Ndugu mtanzania. CHADEMA ni janga
 
CHADEMA zigo la chawa
mmeshikwa eee, safari hii hamchomokimo!! mtatengeza story zoooote za kuiponda CDM na UKAWA ila mwisho wa siku mtakusanya virago vyenu magogoni.
 
401633_409376402427817_100000663838367_1363350_1741628855_n.jpg
 
Katika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa. Kauli za kustua wengi hivi sasa ni pamoja na kusema kwamba wao wanapambana na ccm waitoe madarakani na sio wimbi la umasikini wa kipato unaomkabili mtanzania na kwamba sio watu kama lowasa. Kwamba lowasa ni msafi na hana chembe ya doa. Ndugu mtanzania. Chadema ni janga

Pamoja na Lowassa kupokelewa CHADEMA, hakuna sehemu mwanaCHADEMA amesema Lowassa ni msafi..ila ilisemwa "Lowassa hapokelei kwasababu ni msafi....."
Tungo rahisi hivyo huijui utaelewa umaana wa kumpokea Lowassa kweli"
 
Lengo ni kuitoa CCM madarakani tu. Hayo mengine baadae
 
Kelele za CCM kuwa CHADEMA kupitia Dr. Slaa na "list of shame" ilimtuhumu Lowassa kama mojawapo ya walioorodheshwa kama fisadi kwamba iweje leo impokee na kumpa nafasi ya kugombea urais kupitia chama hicho ni kukosa point na kubakia kutapatapa tu... Kwanza wao CCM inawahusu nn? Si wamemkata mbona wanamfuatilia tena?!! Wanaona gere kwa nini?! Hata hivyo, tatizo lililopo ni kwamba CCM yenyewe na mfumo wako ndio fisadi na wala sio Lowassa ama mtu mwingine yeyote yule. Kwa CCM ilivyo hata ukimuweka malaika ndani ya CCM leo saa hizi baada ya masaa 24 tu utakuta kashabadilika na kuwa fisadi. Hivyo Lowassa mfumo wa kifisadi wa CCM ndio uliomharibia sifa.., sasa yuko nje ya CCM yuko safi na mwenye ushahidi wowote apeleke mahakani au la kama huna shut-up and keep quite..!
 
Pamoja na Lowassa kupokelewa CHADEMA, hakuna sehemu mwanaCHADEMA amesema Lowassa ni msafi..ila ilisemwa "Lowassa hapokelei kwasababu ni msafi....."
Tungo rahisi hivyo huijui utaelewa umaana wa kumpokea Lowassa kweli"
Mtamtetea Lowassa na hata kumjogoo lakini hasafishiki mtu huyo.
 
Lowassa alikuwa malkia wa ufisadi, CCM sasa imebaki salama.
 
Lowassa alikuwa malkia wa ufisadi, CCM sasa imebaki salama.

Kikwete bado yuko huko CCM itabakije salama, humjui hata malkia wako wa ufisadi kumbe... angalia list of shame ya Dr. Slaa utawaona mainjinia wenyewe mlionao huko bado na mfumo wenu wa kifisadi ndani ya Chama Cha Mafisadi (CCM)
 
Katika hali isiyotarajiwa chama cha demokrasia na maendeleo kimekula matapishi yake baada ya kuanza kukana kauli zake ambazo ndio zimekijenga chama hicho miaka mingi sasa. Kauli za kustua wengi hivi sasa ni pamoja na kusema kwamba wao wanapambana na ccm waitoe madarakani na sio wimbi la umasikini wa kipato unaomkabili mtanzania na kwamba sio watu kama Lowassa. Kwamba Lowassa ni msafi na hana chembe ya doa. Ndugu mtanzania. CHADEMA ni janga

Kichwa cha habari cha ujumbe wako nimekipenda.Na huo ndo ukweli
 
Kikwete bado yuko huko CCM itabakije salama, humjui hata malkia wako wa ufisadi kumbe... angalia list of shame ya Dr. Slaa utawaona mainjinia wenyewe mlionao huko bado na mfumo wenu wa kifisadi ndani ya Chama Cha Mafisadi (CCM)


Pesa alizomunga Mbowe ndo zimeanza kazi.mwaka wetu huu.
 
Back
Top Bottom