Na huyo rais wako JK aliyemaliza hela kwenye mfuko wa Serikali kwa kutengeneza mabango yake ya campaign utamwitaje??? MBINAFSI NA MKANDAMIZAJI?? au wewe unamwona anakufaa..............jiangalie maisha yako yalivyo ya shida - na kama wewe ufisadi - angalia ndugu zako ..... angalia WATANZANIA walipofikishwa ........ nchi tajiri - watu maskini - TANZANIA TAJIRI - WATANZANIA MASKINI - kisa ufisadi - najua kauli zako zinaonyesha unauunga mkono malipo ya DOWANS - wake up!!!!!!! MUNGU AKUPE UHAI ILI CHADEMA WATAKAPOPATA MADARAKA UONE KAMA UTAKUWA MASKINI KAMA ULIVYO SASA.