CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
CHADEMA ni wakandamizaji wa demokrasia na wenye ubinafsi wa hali ya juu, jukumu mlilo wapa hawaliwezi ndio maana wanatoka toka ovyo bungeni. Si ajabu hata mwanachama wao wakakutosa watu wa namna hii pindi watakapo pata madaraka
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
Hapo kwenye pink fafanua ni kwa jinsi gani kuna udini na ukabila kwenye CDM? Toa mifano hai waliyoifanya ili na wengine kama mimi tujiridhishe kama kweli hiki chama ni wadini na wakabila.
Nenda kabadilishe pedi ndio uje uropoke ushuzi wako...
Wenzako pedi wanabadilisha kila baada ya muda...lakini wewe imekuganda wiki sasa
mkuuu sema anautoto yaani anaonekana umri wake mdogo sana au madrasa inamsumbua!hapa inaonesha ni jinsi gani ulivyo na mambo ya kiswahili hata katika hoja za misingi, nomba maana ya hilo neno hapo
Kwa darubini yangu ThinjTwice ni she*ani. Hautufai kanisani, msikiti, hautufai kwenye maisha
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
mkuuu sema anautoto yaani anaonekana umri wake mdogo sana au madrasa inamsumbua!
Thibitisha! Inaonekana kabisa uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo sana ndio maana unawaita CHADEMA masharobaro.. acha:blah:
WEWE umedhihirisha ya kwamba ni :
1. Mfinyu wa mawazo
2.Hauko kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali yako binafsi zaidi
3. Hauna maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unakusumbua
4. Unaweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutoitendea haki akili yako kwa maana unaitumia kwa asilimia -0.0%.
6. Kutofanya kazi zako kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni
Kwa usharobaro huu wewe ni mfinyu wa mawazo na haulitakii mema taifa hili!
hapa inaonesha ni jinsi gani ulivyo na mambo ya kiswahili hata katika hoja za misingi, nomba maana ya hilo neno hapo
Hilo ni neno safi na zuri la kiswahili linalofaa kutumika kwa CDM, tafuta maana yake
kweli tupu kama,kama wamepata 20% yakura wanabagua wenzao je wangeshinda si nchiyote mpk mwenyekiti wa mtaa angekua mchaga?CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :