CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

Kweli CCM wana huruma sana. Hadi wanagawa nguo bure.....

attachment.php
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

hapo bolded ndio pa msisitizo,,,sidhani kama waandishi watakuacha uwatukane hivyo (toa prove ya hao waliohongwa na uwataje)..

bora kusumbuliwa na magonjwa ya uzee kuliko kusumbuliwa na magonjwa ya aibu
 
Kuchangia uzi kama huu ni kujitafutia ban, maana napata hasira kuona bado kuna watanzania waliopofuka kiasi hiki, naweza jikuta natumia maneno yasistahili, hivyo nitaendelea kusoma tu.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Inashangaza sana ,mlisema Chadema chama cha msimu imekuwaje? mnasumbuliwa na chama cha msimu fanyeni kazi,mtamzima Dr Slaa kwa kuwajibika na kuwafanyia watanzania yale yanayotegemewa toka kwenu..
 
Oh Yes, Justice will be saved; There is no more Justice in this CCM GVT anymore...

Na Mwandishi Wetu, Tarime

WAKATI ndugu wa marehemu waliouawa siku saba zilizopita katika mgodi wa North Mara uliopo wilayani hapa wakitarajia kuzika miili ya ndugu zao kesho, jana walimwomba Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Bw. Luis Moreno Ocampo anayeshughulikia makosa ya kuwashughulikia waliofanya mauaji hayo.

Mmoja wa wanandugu hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema itakuwa vema endapo Ocampo atawasaidia na Watanzania pia ambao wamekosa imani na serikali yao kwani mauaji hayo hanajirudia mara kwa mara bila ufumbuzi na wahusika hawachukuliwi hatua yoyote.

Alisema wamekuwa wakimskia Ocampo akiwasaidia sana raia wa Kenya, hivyo wana imani hata hapa nchini anaweza kuwasaidia na tatizo hilo likaisha, kwani hivi sasa hawana imani ya kuendelea kuishi Nyamongo wakiwa kama
raia halali wa Tanzania.

Alisema kuwa wamechoka kuona ndugu zao wanauawa kama nyumbu, ilihali hata nyumbu hawaezi kuuawa bila kibari maalumu, iweje wao wauawe tena na askari wa Kitanzania wanaolipwa mishahara itokanayo na kodi zao.

Katika hatua nyingine Mbunge wa Singida Mashariki, Bw.Tundu Lissu amewambia waandishi wa habari kuwa mazishi yatafanyika kesho na miili ya marehemu itaagwa katika uwanja wa mpira wa sabasaba na baadaye kusafirishwa katika maeneo mbalimbali husika.

Bw. Lisu ambaye pia ni mwanasheria wa CHADEMA, aliyasema hayo nje ya nyumba ya kuhifadhia maiti baada ya Dkt. Greshon Nyaike kufanya uchunguzi katika miili minne iliyohifadhiwa katika Hosptali ya Wilaya mjini hapa na kuwataka waandishi kueleza ukweli kuwa miili hiyo iko salama.

"Miili iko salama na chama kiligharamia dawa ya kuhifadhia miili kiasi cha kuwa salama hata ndani ya miezi mitatu, sasa nashangaa na kusikitishwa na taarifa za uongo kuwa miili imeharibika si kweli kabisa," alisema.

Alisema sababu ya msingi iliyofanya uchunguzi huo ufanyike ni kutaka kujua na kuona ni sehemu gani za miili hiyo zilizopingwa risasi ili kuwachukulia hatua waliohusika.

Alifafanua kuwa endapo mtu akiwa amepigwa kichwani au kifuani in amaana kwamba alimpiga risasi amekusudia lakini akiwa amempiga miiguni itajulikana kuwa mtu huyo hajakusudia kuua isipokuwa alikuwa katika harakati za kujihami.

Alisema ingawa mwili mmoja wa marehemu Chacha Mwasi Bisaru (25) uliibiwa na kuzikwa kwa Komaswa bila ridhaa ya wanandugu, familia yake itapata rambirambi sawa na wengine watakaowazika ndugu zao kesho.

Waliouawa katika tukio hilo ni Mwikwabe Marwa (32) mkazi wa Kitongoroma Serengenti, Chacha Ngoka (19), Mkazi wa Kewanja Nyamongo, Emmanuel Magige (23), mkazi wa Nyakunguru na Chawari Bhoke (27) mkazi wa Bonchugu Serengeti pamoja Chacha Mwasi Bisaru (25) mkazi wa Komaswa.
Source: Majira
 
Huwa sina kawaida ya kujibu threads kama hizi za mkerewe lakini upupu unapozidi unawasha macho, masikio na pua kiasi cha kupiga chafya. Naona nipige chafya maana hii imepitiliza kiasi. Hivi mkerewe ana maana gani kuwaita Chadema "A mob psychology?" Ina maana kwake yeye watu wanaowapa wananchi elimu ya uaraia ni watu wabaya! Sasa ni nani wangestahili kuitwa kwa jina hilo ambalo sitaki hata kurudia kulichapa? Ni hawa wanaowaamsha wananchi wajitambue na kuelewa kwamba wanaibiwa, wananyonywa, kupuuzwa na kudhalilishwa kwenye nchi yao au ni hawa wanaouza urithi wa wananchi kwa sababu ya ukitimbakwiri wao? Mbona mawazo ya "mkerewe" yako kinyume sana. Huyu bwana ni mmoja wa wanaoitafuna nchi hii akitumwa-tumwa na vitimbakwiri wakubwa.

Kama "mkerewe" ni mzalendo na mzawa basi kuna hitilafu kubwa katika mawazo yake. Inashangaza mno kumsikia Mtanzania asiyeona umaskini uliokithiri katika nchi hiii. Na kama ni ushabiki wa kisiasa huu ni wa kijinga kupita kiasi. Ushabiki wa aina hii nimewahi kusikia watu wakiuita "ushabiki maandazi." Kama yeye haoni haya basi anashiba kutokana na jasho la walalahoi wa nchi kwa hiyo "ole" anayowatakia Chadema itakuwa yake.
 
Published On Mon May 23 2011

230ef791453fa55107162a15aab0.jpeg

Gasaya Matiku, the uncle of 19-year-old Chacha Ngoka Chacha, with a photo of his nephew, who was killed at African Barrick's mine on May 16, 2011.

Jocelyn Edwards SPECIAL TO THE STAR

TARIME, TANZANIA-Families of the five men killed by security forces of a Canadian mine are furious after that were denied permission to hold a memorial service Tuesday at African Barrick's gold mine in North Mara.

"When you have lost your loved ones and you are in a grieving period, for someone to do this to you, it is not right. It would be better if they would take you too," said Magige Gati, whose 27-year-old son Emmanuel Magige was among the dead.

Five men were killed, and at least a dozen injured, when about 800 locals clashed with security on May 16 at a mine in the area owned by African Barrick, a subsidiary of Toronto-based Barrick Gold Corporation.

The clash is the latest episode in an ongoing conflict between residents of North Mara, who come to the mine to scavenge for gold and Barrick, which took over the mine in 2006.

Police cited security concerns as well as "a series of criminal acts," including villagers' invasion of the North Mara mine and an attack on the motorcade of the local MP by residents upset at what they say is the government's role in the killings, as reasons for denying permission for the memorial.

Families of the deceased said they were at the mortuary in the small northern town of Tarime to guard the bodies of their loved ones, due to be buried Tuesday, in shifts.

"We fear that the police will take the bodies and bury them. So we are staying to stand guard," said Gasaya Matikua, uncle of one of the victims, 19-year-old Chacha Ngoka Chacha.

African Barrick employs police as well as private security guards to protect the mine. Organizers of the memorial said that they would go ahead with the event.

"If the police decide to use force against us, it is entirely up to them. We will hold a peaceful ceremony," said Tundu Lissu, a lawyer who has worked on behalf of residents around the North Mara mine and who is an opposition MP in Tanzania's parliament.

"We will not be intimidated or told how to mourn our dead by the very people who murdered them."

Despite the ban, a van with a loud speaker still drove through the streets of Tarime inviting townspeople to attend. It was quickly followed by a police truck issuing a warning to residents against taking part in any such activities.

A heavy security presence was evident in the town as trucks of police officers, some dressed in riot gear, made their way up and down its streets.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

"kWANINI ASIPIGWA BAN? MAWAZO YA MGANDO HIVI YANACHEFUA TU
 
Huruma ya nini?kila mwananchi wa nchi hii analindwa na katiba hiyo hiyo aliyoapa JK.Hakuna mwenye haki zaidi ya mwenzie bana.Wale wale wa kutumiwa.
 
Bora wamfunge tu huyo mpuuzi slaa, kakosa kiti cha urais sasa anataka kuleta fujo, hii ndio tatizo la makabila yanayo penda fujo.

mpuuzi ni wewe na babu yako, sio slaa, watu wako makini wewe unaleta maswala ya kipuuzi.
 
Bora wamfunge tu huyo mpuuzi slaa, kakosa kiti cha urais sasa anataka kuleta fujo, hii ndio tatizo la makabila yanayo penda fujo.

Amakweli mmelewa ufisadi, leo Slaa afungwe kwa kupigania maslahi ya wanyonge mafisadi waachwe wakipeta mtaani, hiki chama chenu cha magamba ukiwa mtu safi unaitwa mpuuzi..!
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Wewe mwenyewe ajuza
 
****** amuweke kizuizini dr.SLAH!!!!?
Hivi yeye ana majeshi ya namna gani ya kumlinda yanayozidi ya MISRI.
 
Kama si kwa huruma ya JK leo SLAA angekuwa kizuizini.

CDM endeleen kuleta makelele ila nawaonya kuwa nchii hi ina jeshi la kumlinda rais na katiba.

Uchaguzi umeisha makelele ya nini sasa?wanainchi wasiendee shambani wahudhurie maandamano mwisho wa siku wale mavuno yapi?

CDM munatumia kuwaongaa waandishi wa habari uchwara waandike upuuzi wenu ila hamtafua dafu

Mwisho SLAA kazeeka anasumbuliwa na magonjwa ya kizee atawapoteza

Kwa mujibu wa Katiba kila raia ana haki ya FREDOMA OF MOVEMENT, EXPRESSION AND ASSOCIATION. Hivyo wananchi wana haki ya kuchagua kwenda shamba au kuhudhuria maandamano.
 
Hii ndio inaitwa "Freudian Slip" mazee - kuongea ukweli bila ya wewe kujijua!

Hapo kwenye RED:

  • Hatushangai - ndicho kitu kinachosemwa siku zote hapa na wapenda maendeleo kuwa JK na genge lake wapo kujinufaisha (jeshi linalomlinda rais na si raia).
  • Wananchi walitakiwa kwenda kwenye maandamano wakati wa uchaguzi - wakapewe kanga, fulana, kofia na pilau. Uchaguzi umeisha na hivyo havitolewi sasa unashangaa kwa nini CHADEMA wanavuta watu kwenye maandamano na mikutano yao! (Kwako wewe na Magamba wenzako haifikiriki kwamba mtu mwenye akili timamu atavutwa kuacha kazi zake kwenda kusikiliza SERA anazoona zina mlengo wa kubadilisha maisha yake kuwa bora zaidi).
  • Imeeandikwa: Mtu huyawaza yaujazayo moyo wake. CHADEMA haina resources za kuhonga waandishi - wawe uchwara au vinginevyo - hiyo ni kazi ya wana Magamba.
Kazi mnayo mwaka huu. Stress zitawaumbua, na mtatwambia mengi.

Pia haoni kuwa katiba pia inawalinda Chadema?
 
Back
Top Bottom