CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

Chadema wanachanganyikiwa kwa kasi sana. Yaani Lissu mbunge mzima alienda kufanya nini Tarime kama si uchochezi? Halafu mnataka mpate public sympathy kwenye huo upuuzi?
 

Kikwete nayemfahamu si Mkristo wala Muislam (kwa maana ya msimamo). Yeye binafsi hajui yuko wapi.
 
Jamani jamani c wapewe mdhamana? Kwanini iwe hivi jamani?? Mi ninahasira yani!
 
Sasa hapa uislam, na kikwete kuna uhusiano gani!?
 

ngoja tu nikutukane ww ni mpuuzi
 
Sidhani kama kuna udini hapa bali ni udhalilishaji unaotakiwa kupingwa na imani zote!jamani inasemekana hata osama alizikwa kwa heshima za dini yake.jambo walilofanyiwa marehemu hawa ni la kinyama mno,hata kama jk alitoa order naamini watekelezaji(naamini ni wakristo) ndio wa kulaumiwa.
 
eng mayeye nenda kafungue mashtaka acha kujambajamba,hatuogop kufa n wajibu.chadema mkomboz wa wanyonge tutashinda
<br />
<br />
Uyo mayeye wa shinyanga sizani kama atakuelewa anafanya kazi katika kampu ya cprian inayomilikiwa na RA mkatae na mawazo mlundiko yake.
 
Mtoa mada acha kuandika upuuzi hapa. Usituletee udini. Ujinga huo.
 

akili na mawazo yako ni ya kipumbavu,
bora ungekaa na ujinga wako ukabaki kuwa ni hasara kwa familia yako peke yake.
 
Taarifa ni kwamba hivi sas polisi wamemwagwa Nyaamongo na wanakamata watu ambao hawana hatia jamani hivi jeshi la polisi hamjui kuwa nyie ni walinzi wa kila raia wa nchi hii ama mlishabadilishwa na kuwa walinzi wa mwekezaji
 

Ungetoa ushauri kama huu kwa Nelson Mandela, unadhani angekufanya nini? Nijuavyo mimi huyu jamaa pamoja na ubunge wake huko singida lakini ni waziri kivuli wa wizara inayoguswa kabisa na yaliyotokea huko. Waziri wa ccm ameogopa kutia mguu pale anajua ni nini kingemtokea!
 
Tahriri square itaanzia Nyamongo na kusaambaa tanzania nzima kisha magamba yote yataondoka bila kupenda
 
Its abt tym now we be fair to every1, hivi kweli kabisa muanzisha mada umekaa na kufikiri ukafikia conclusion kwamba kuna kikao kimekaa kikaamua eti majeneza hayo ya2pwe porini kwa kuwa ni ya wakristo? No, nchi yetu haijafikia hapo, mimi nimeishi mkoa wa Mara, nimejifunza na kuelewa tabia za watu wa kule, hawaitaji kupewa amri kusimamia what they think is right na kukataa the wrong 1. Mwananchi wa Mara particularly Tarime yupo radhi kujitoa roho ila si kufanya tofauti na matakwa yake bila hofu ya mtu. Kama waliacha majeneza hayo porini ni kwa 7bu wenyewe walijickia kufanya hvyo na c kwa 7bu wamepewa order. Kwanini tunanyoosha vidole vitano kutafuta m2 wa kumlaumu kwa hilo while kidole kimoja tu kingetosha kukemea jambo hili ovu lililofanywa na askari hao?
 

wewe ni nani kati ya marafiki zake kwa sababu marafiki zake wote tunajuana na sisi ndo tulimshauri aingie kwenye siasa kwa sababu siasa aliipenda muda
 

Kwahili nafikiri you are the only one who have that theory. Tafuta details zaidi kama kweli unataka kujua lakini ukiamua ku-play dumb is ok too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…