Eng Mayeye
Member
- May 23, 2011
- 37
- 1
Tukiwa na ma eng kama nyinyi basi nchi hii imekwisha kabisa.Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
Pole sana Tundu Lissu, hizo tunaziona kama kauli ya mfa maji.... Ulitaka usikamatwe kwa tuhuma unazotuhumiwa? Acha uwoga wa mahabusu, huko panaitwa MTAKUJA. Kama ilivyo hospital.. Uende kustaki wewe kama nani hapo tarime na kwa hoja gani za msingi.. We kaa mahabusu, wenzio wanakusifia eti umaarufu wako unaongezea, haya endelea kijana, siasa si lele mama, nilikushausi tangu mwanzo pale uliponitaka ushauri kuhusu kuingia kwenye siasa... Nikakushauri kuwa mtu wa HAKI na uisimamie hata kama haki hiyo ni ya ADUI yako ili upate msaada wa MWENYEZI MUNGU lakin hautaki kunisikiliza. HAYA KILICHOKUPELEKA TARIME KUCHOCHEA WATU WAUANE NI HAKI? Pole.
Waislam huwa hawana mchezo,pangechimbika tarime.hukuona juzi jeneza la yahya husein lilivyobebwa juu juu badala ya kubeba na gari?

<br />Kwanza kabisa hauna uwezo wala haki ya kumuonya RPC wewe siyo IGP, Pili hatupendi utushirikishe watanzania wote kwe huo mpango wako wa kuondosha amani,, waliokamatwa wanahaki ya kufunguliwa mashtaka na kupandishma mahakaman kwa mujibu wa sheria. Kwa taarifa tu HAKUNA yaan nikimaanisha NEVER Raia aliye juu ya sheria. Kwahiyo futa kauli yako mara moja kabla na wewe haujafunguliwa mashtaka ya Jinai kutishia kwa maneno au kesi ya kuhamasisha na kukusudia kufanya UHAIN.
Duh!
Wangewabebaje hao marehemu kama wasingekuwa kwenye majeneza?
Siamini kwenye udini kwenye hili, ila inasikitisha jinsi ambavyo serikali inavyoweza kudharau raia kiasi cha kufanya hata dhihaka na wafiwa na maiti za ndugu zao ambao hata hawajazikwa.
This is just too much!
Nadhani ni AMNEST International.
Umoja wa mataifa yuko Dr Asha Rose Migiro kwa hiyo ataweka chini ya carpet. Waanze kuwaandikia mabalozi wa nchi za nje walioko Tanzania na kuwaeleza in details ni kwa jinsi gani haki za binadamu zinakiukwa.