kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,342
- 21,447
Tukiangalia kiundana na ukweli 2015 zile kura ml 6 tulizopata,zetu halisi ni ml 2 tu,ml 2 ni CUF na ml 2 ni CCM wenyewe ambao waliopiga kura kwa chuki ya mtangaza nia wao kukatwa.
Sasa tujihadhari na watu wanaondoka kwa hasira,kwa vile yule walie mchukia kila kukicha anafanya vizuri sasa ni rahisi kurudi kwenye chama chao sababu kwa sura hatuwajui,sasa hapa ni lazima uongozi uje na mkakati makini wa kutupatia mgombea makini kupata kura ml 10,tusisubiri kufanyiwa kazi na Tanzania daima au Mtanzania.Maana Magufuli zile siasa zetu na mikakati yote ameiba alianza na M4C mwisho na sera kaiba na utendaji pia.