Alternatively, unaweza kutumia carrots badala ya nyanya halafu unablend mahitaji yote pamoja na vitunguu maji pia. Unabandika jikoni, unaweka mafuta ya kupikia kiasi vinachemka pamoja. hii inakuwa na utamu kwa mbaaaali kutokana na carrots ulizotumia.
Unasema pilipili ipi ile ya mbichi unayoblendi pamoja na karoti na swaumu nk au???
Unasema pilipili ipi ile ya mbichi unayoblendi pamoja na karoti na swaumu nk au???
Pilipili upike na rojo la ukwaju jamani.. kwa nishkaki namba 1. Chukua pilipili kadhaa twanga na chmvi kiasi au saga na blender. Then kamulia na ukwaju mzito chemsha kdg tuu. So fantastic kwa mishkaki
kuwa na mwanaume kama wewe unayeijua girigilani unatakiwa uwe mtaalamu wa mapishi maana mkurya wangu mmoja alipoona kwa mchuzi giligilani akaniambia nimemuwekea majani ya uchawi bado kidogo nichezee mabaoKumbe unaweza kutia na karoti pia!? Mie hutengeneza kwa kuweka pilipili, kitunguu swaumu, limau, chumvi na wakati mwingine giligilani, ni nzuri sana.
kuwa na mwanaume kama wewe unayeijua 4ligilani unatakiwa uwe mtaalamu wa mapishi maana mkurya wangu mmoja alipoona kwa mchuzi giligilani akaniambia nimemuwekea majani ya uchawi bado kidogo nichezee mabao
Hahahahah lol! hakawii kususia chakula, "Mke wangu anaanza kuniroga sasa nimekuta katika vimnajani majani kwenye mboga, machale yakanicheza nikaamua kususa kula." kwi kwi kwi....
si kula ni kura best dah kuna watu noma alinuna alikasirika hapa nimekumbuka nimecheka sana loo