Chacha anauliza makanisa kuchomwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chacha anauliza makanisa kuchomwa!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Eghorohe, Oct 18, 2012.

 1. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Leo kanisa lingine limechomwa,najiandaa kwa machungu nina hasira hadi natetemeka magaidi wakija kanisani kwetu nikawakata vichwa kama DAGAA! nitavunja amri ya usiue?? Mbona Biblia inasema Mungu aliwapa nguvu baadhi ya watu kama Daudi kuangamiza maadui? Naombeni majibu POTI kabla sijaamua hatutakubali kuteswa ndani ya nchi yetu bora tufe!!
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Poti mang'ana gasarikire poti...
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Hata biblia inasema wema wenu usizidi uwezo. Natamani majini yanayowatuma yawatume kanisani kwngu wajute kwa nini waalikubali kufuga majini yaliyowapotosha.
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mmmh, mkuu mstari gani huo wa biblia unasema wema wenu usizidi uwezo? Ninatamani sana kuujua huo. Maana Yesu mwenyewe anasema toa vyote ulivyo navyo uwape maskini. Sasa najiuliza kama anasema utoe vyote, tena anawezaje kusema wema usizidi uwezo?
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Kuchoma kanisa ni kosa na walio chomwa makanisa watapa adhabu mbele ya vyombo vya dola.

  Na wewe kama utaamua kuuwa, kisheria wote mta kutwa na makosa hila ya tatofautiana tena lako litakuwa ni kubwa zaidi.

  Mimi naamini sisi waislam na wakristo mungu wetu ni mmoja na ana jitosheleza na haitaji mtu yeyote kumtetea!
  Ni vyema tu kaviachia hili swala vyombo vya usalama vifanye kazi yao.

  Ukifanya hivyo utakauwa umejichukulia sheria mkononi.

   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu eghorohe..utacha gwitana ne ching'ondi, amang'ana gha Mungu uteghere Mungu omwene alaghamara....ukumbuke kila mpango wa Mungu hupitia hatua, kwa sasa mauaji Mungu hajaruhusu..isipokuwa hawa ndugu zetu na Mungu wao.
  mkuu hiyo line ya hapo kwenye red sijawahi kuisikia, nachofahamu ni kwamba tunatakiwa kujitoa paisi na kujibakisha, ila nimfurah hiyo ya majini..hahahahaha
   
 7. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata mm nautafuta huo..
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  jisaidie na mungu akusaidie.......... dawa ni kukinukisha tu na siye..........
   
 9. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  na huu nao nautafuta, mkuu hivi hizi line zinapatikana kitabu gani vile?
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mormons new bible american translation...............
   
 11. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh, kweli America ni noma!!
   
 12. Abou merlin

  Abou merlin Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njoo zanzibar kama unataka kufa.
  Tupo uamsho tunahtaj watu kma nyny makafiri
   
 13. S

  Sadagada Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  makafiri ni nyie wanafiki wakubwa. mnajifanya mnajua dini kumbe hamna lolote. Nlikujaga Zanzibar field. Kila binti nliyekuwa namtongoza nikienda nae faragha ang'ang'ania nimgonge tigo kisa eti analinda bikra. elekea ndio mnavyowafanya halafu mnajidai mnajua dini. washenz wakubwa nyie. Mnalalamika ujinga tu. waarabu walivyokuja walikazania kujenga misikiti mingi pasipo shule. leo hii mnasema kuwa wakristo wanapendelewa kwenye elimu. mshukuruni sana nyerere alitaifisha zile shule za kikristo ili nanyi mpate elimu.
   
Loading...