Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,517
Chabo ni ugonjwa unao watesa watu wengi sana.
Oneni huyu kijana ambavyo amezuzuka kwa ayaonayo.
Haogopi tena hatari iliyopo nyuma yake, watu wanaweza kumpigia keleleza mwizi.
Sasa naanza kuamini kuwa chabo ni ugonjwa wa mapenzi
