Chabo kids. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chabo kids.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jan 22, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watoto wawili walikuwa kichakani wakimpiga chabo mdada aliyekuwa akioga mtoni.Mara ghafla mtoto mmoja akatoka nduki,na yule mwingine bila kupoteza muda akatoka mbio kuelekea alikoenda mwenzie.Alipomfikia mwenzie huku akihema akamwuliza ni kwa nini alitoka mbio?Mwenzie akasema;Mama alinikataza kuchungulia wanawake wanaooga vinginevyo nitageuka jiwe,kwa hiyo nilitoka mbio baada ya kuhisi cha kukojolea changu kinaanza kukakamaa kuwa kigumu,nikajua ndo naanza kubadilika kuwa jiwe.
   
 2. b

  bigambo Senior Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  AAAAAAAAAAAhhhhhh dogo alipata mfadhaiko wa kimwili
   
 3. driller

  driller JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahaaaa kwa hiyo ndio kilikua kinaanza kurudia unyama wake..! yani kilikua kina anza kua nyama tena taratibu..!
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha haaa! usitake ncheke mie!
   
 5. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahaaah, Mtoto ana akili huyu
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usifanye mchezo na mguu wa tatu.
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Akajua nikichelewa tu nageuka jiwe.
   
 8. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bora alivyo toka nduki. Ama sivyo.....si unajua?
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaa watoto noma sana
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Siyo mfadhaiko alihamasika
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haya yalikwa mafundisho ya kizamani watoto wa kileo ukiwaambia hivyo ndo watafanya juu chini wakuchungulie wewe mzazi mwenyewe ili wahakikishe
   
 12. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha jamii forums bwana, we acha tu
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mguu wenye kichwa lakini hauna brain cells...........!!! lakini unasimaa na kukaa wenyewe!! chezea mguu wa tatu wewe!!
   
 14. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Du! Dogo alidinda!!!!!!!!!!
   
 15. h

  hayaka JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndo ujue dogo ni rijali
   
 16. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tatizo hakujua ni kwa nini huo mguu ulikakamaa.
   
 17. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahhaha;dogo ni noumaaaaaaaaaaa!!!
   
 18. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yule mwenzie sio kbs hata kuhisi tu kuwa nae anakakamaa hakuna!!!!!

   
 19. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha! Cheka sana
   
 20. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  usicheke hadi ukamaliza cha kuchekea kesho.
   
Loading...