Cha Mgema Huliwa na Mlevi CCM Inathibitisha Hivyo?

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Fedha za EPA kwenda Kagoda inasemwa ndizo zilimwezesha JK na ccm kushinda uchaguzi wa mwaka 2005 na kwa sehemu fedha hizo hizo (mtaji huo huo) umewarejesha JK na ccm madarakani katika uchaguzi wa 2010. Ushindi huo wa mara mbili (2005/2010) wa CCM ulichangiwa na juhudi binafsi za mafisadi sugu. KIMANTIKI, KILA MWANA CCM ''mwana-magamba' ALIYESHANGILIA NA ANAYESHANGILIA USHINDI HUO NA KUULINGA NA KUTEMBEA KIFUA MBELE ANASHANGILIA FAULO ZILIZOFANYWA NA MAFISADI, NA ANATAMBA NA KUJISIFU KWA UOVU HUO.

Hakuna asiye na hatia ya uovu huo ndani ya CCM. Mnaponyosheana vidole, mnajisuta kwa vidole vilivyosalia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom