Cha Limao

Huyu mbona anafanana na seleman matola alipokuwa mdogo?
 
kushoto kabisa ni mrisho ngasa
 
Hiyo kitu balaa.
Unatoroka home, uko radhi hata msosi unyimwe.
hapa mtaani kwangu vijana wengi tu wa F4 walishiriki hii kitu..........huenda kuna uhusiani wowote?
 
cheza kitumbo wazi. jasho tele. ukute kamasi zinatoka we kazi yako kuzila. miguu vumbi tupu.
afu ukute ni ile ya kucheza huku mnarudi nyumbani. toka shule had home mbali balaa lakin mbele ya cha ndimu panakua pafupi. mnafunga barabara kwa mechi ya mtaa kwa mtaa
 
umenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…