Hahahhaaa.World first coconut preparation tournamentView attachment 831515
Tupia picha kutimiza "vigezo na masharti"hata me ni first born kwetu
First camera kwa maana ya muundo ila inawezekana zilitengenezwa zaidi ya moja halafu moja ndio ikapiga pichaHv nini kilitumika kupiga picha...first camera..??
Hiyo first camera sio lazima kuwa ilipigwa picha siku iliyoundwa inaweza kuwa ilipigwa picha hata miaka kumi baadae wakati camera zikiwa nyingi na bora zaidiHv nini kilitumika kupiga picha...first camera..??
NIMECHEKA FIRST CAMERA😀😀😀😀😀😀
Kwa mfano kama iko makumbusho ukaenda na simu yako Kesho si unaipiga picha then unapost?!? Great Jinga kweliHv nini kilitumika kupiga picha...first camera..??
Hivi huyu mama yuko singo?? Au ni koloni la nani?Dc wa kwanza mrembo dunianiView attachment 833212