Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
Imekua kawaida kwa binadamu mara nyingi kukumbuku kitu chake cha kwanza kutumia ama kufanya, Naamini kabisa wengi wenu mnakumbuka vitu kama Mpenzi wako wa kwanza kulala nae, Simu yako ya kwanza kutumia, Nyumba yako ya kwanza kununua ama kupanga, Gari yako ya kwnza kununua, Kazi yako ya kwanza kupata, Single yako ya kwanza kama ni Mwanamuziki etc.
Now COMING to JF haswa jukwaa la MMU ebu kumbushia Thread yako ya kwanza Kuiachia Humu jukwaani!!Je iliwakamata watu?
Now COMING to JF haswa jukwaa la MMU ebu kumbushia Thread yako ya kwanza Kuiachia Humu jukwaani!!Je iliwakamata watu?