Cha kijifunza kwa hilda

Huwezi kuzuiya maji kwa viganja vya mikono . Watawakamata na hata kuwauwa wote lakini mbegu hizi zitachipuka dama popote
Kina nani wakamatwe na kina nani wakamate na kina nani wafe na kuuliwa ?, na wangapi wafe ili tuone kwamba imetosha au ni worth it ? Ifike wakati tuanze kukemea uchafu na upuuzi wowote no matter nani anaufanya au kumfanyia nani.

Hizi divide and rule ndizo zitaendelea kutafuna taifa na miaka ishirini ijayo tutakuwa tunaongea yaleyale na kutupiana lawama na shutuma....

Narudia tena uovu ukemewe na yoyote popote bila kuvikwa jamvi la kisiasa kufanya hivi ni kupunguza makali au kupoteza wapenda haki wa mlengo tofauti
 
Huyo wala hana ujanja

Ipo siku utanieelwa

Chadema halisia tunawajua na mapandikizi tunayajua

Ova ova

Wapigwe tu hawa mbumbumbu
 
Ujumbe mulua sana ,safari hii bora tukae ndani tukila sehemu ya kodi zetu , japo sio diet kamili ,cha msingi ayo maagizo yako hapo juu yakitekelezwa
 
Duh, yamekuwa hivyo tena? Kwa hiyo wakikulazimisha kujidhamini unagoma eeeh?
 
Kama amepatikana salama basi tuseme ishala Ila hawa jamaa wamekuwa Kama kinyonga mbinu zao hazitabiriki kabisa.

Mfano hii ya juzi ya kutupa watu bagamoyo
 
Ni serikali kutojiamini, upinzani wtafute muarobaini wa hili la vyombo vya dola kutumika na serikali kuwapunguza nguvu.
Wafanye juu chini, vyombo vya dola nikikwazo kwa vyama pinzani , waachane na yote waangalie upande huo... Wakifanikisha siasa itavutia zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…