Cha asubuhi

Nimekimbilia bure kumbe mambo ya mezani, wenzako wakisema cha asubuhi wanamaanisha mambo ya chumbani
 
Usiwaze ngono ww[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono. Humsikii hata mwenye nchi yake anavyonadi mauno mauno mauno mauno mauno,hivyo mkuu. Ngono ipo na itaendelea kuwepo, wewe mwenyewe una vimeo kibao kuna simu zingine hupokei una mute tu, ha ha haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…