certified public auditor(CPA)

certified public auditor(CPA)

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
119
Reaction score
27
yan kweli hatari mpaka mtu mwenye cpa naye hapati kazi kweli ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa linalohitaji ufumbuzi wa haraka
 
acha kukimbia kimbia,ni Certified Public Accountant, siyo Auditor.
 
ndiyo maana me sitaki kusoma cpa wala masters nataka hizo nizisome nikiwa ofisini,maana ukizidi kusoma hapa bongo ndiyo uwezekano wa kupata kazi unazidi kupungua ntapambana na haka ka degree mpaka kieleweke.
 
Cju niseme marginal employment per year ni zero ukilinganisha na graduate wanaozalishwa per year. Had Masters holda anataka aajiriwe instead ya kujiajir kwa ujuz wote alionao.
 
Hivi ni certified public accountant au certified public auditor? Maana tittle tu huijui afu utapataje kazi..aaagh
 
ndiyo maana me sitaki kusoma cpa wala masters nataka hizo nizisome nikiwa ofisini,maana ukizidi kusoma hapa bongo ndiyo uwezekano wa kupata kazi unazidi kupungua ntapambana na haka ka degree mpaka kieleweke.

Tuko pamoko mkuu
 
Employers wish to know who you are and what makes you unique/distinct you from others and not what qualification do you posses! .........usishangae ukiitwa interview kwa wakati huu unaweza ukakutana na maswali haya: 1.Unaionaje Bajeti ya Tanzania Mwaka 2013/2014? 2.Una maoni gani kuhusu gesi ya mtwara 3.Unaichukuliaje Ziara ya Obama Tanzania hapa ndiyo wanaangalia uwezo wako wa kupambanua mambo, sasa wewe ng'ang'ania CPA, Masters...sijui kitu gani?
 
kweli brthr umeongea jambo la msing sn aisee.
 
Back
Top Bottom