Certified Information Systems Auditor (CISA) trainers are needed

Certified Information Systems Auditor (CISA) trainers are needed

lilianjr

Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Mwalimu bingwa wa Certfied Information Systems Auditor(CISA) anahitajika kwa ajili ya kufundisha internal auditors ili waweze kufanya mitihani ya CISA.

Yeyote mwenye contacts za watalaamu please nitumieni.
 
Chuo gani hicho? VP kuna jamaangu kasoma masters in information security anaweza wafaa? Ila ni muajiriwa
 
Tunahitaji mwenye CISA na uzoefu wa Kazi na weledi wa kufundisha. Sio Chuo, ni taaasisi ya fedha.
 
Mtafute Mwalimu mmoja anaitwa Sam Mujinja ana kampuni yake inaitwa True Ink Associates.

Yeye ni Auditor wa muda mrefu na anafanya kazi TRA DSM, ana masters ya IT..ni CISA Certified..ana certification zingine kama ITIL, PMP etc na ana uzoefu wa muda mrefu wa kufundisha CISA..

Mwaka jana alitufundisha sisi wafanyakazi wa National Audit pale msimbazi center na kati ya tuliofanya mtihani tulifaulu watu almost 12. na huwa ana madarasa yake yanaendelea pale Raha Tower...he is very experienced.

Huwa ni trainer pia wa ISACA Tanzania Chapter. wasiliana naye kwa number zifuatazo..
0713 451713 ama 0764 978313.
 
Shukrani kaka, tumeshampata jamaa wa Resonate Consulting Group Limited.. Tutampigia pia Mujinja , kama kutakua na upungufu. Ahsante.
 
Asante dada Lilianjnr

Mimi ni trainer wa CISA na CISM kwa muda mrefu, i have trained several students na wengi wamefaulu..ninafanya kazi na nina ozoefu wa muda mrefu, nina fanya kazi ya audit, mimi ni senior auditor in one of the reputable insitution hapa Tanzania...unaweza ukanipata kwa 0714 451713 ama 0764 978313...naitwa Sam Mujinja na nina kampuni yangu inaitwa true ink associates.
regards
 
Last edited by a moderator:
Asante dada Lilianjnr

Mimi ni trainer wa CISA na CISM kwa muda mrefu, i have trained several students na wengi wamefaulu..ninafanya kazi na nina ozoefu wa muda mrefu, nina fanya kazi ya audit, mimi ni senior auditor in one of the reputable insitution hapa Tanzania...unaweza ukanipata kwa 0714 451713 ama 0764 978313...naitwa Sam Mujinja na nina kampuni yangu inaitwa true ink associates.
regards

mzee wa ndonga a.k.a Mujinja

Mimi ni ISACA member na ninataraji kufanya mtihani wa CISA mwezi Septemba 2015. Mtihani wa June 2015 sitaweza kutokana na kukabiliwa na majukumu.

Una ratiba yoyote ya kufundisha kupitia kampuni yako au kupitia Taasisi nyingine kwa ajili ya mtihani wa Septemba?/

Ikiwa hivyo naomba tuwasiliane mkuu...

So urgent nahitaji hiyo Certification...
 
Asante dada Lilianjnr

Mimi ni trainer wa CISA na CISM kwa muda mrefu, i have trained several students na wengi wamefaulu..ninafanya kazi na nina ozoefu wa muda mrefu, nina fanya kazi ya audit, mimi ni senior auditor in one of the reputable insitution hapa Tanzania...unaweza ukanipata kwa 0714 451713 ama 0764 978313...naitwa Sam Mujinja na nina kampuni yangu inaitwa true ink associates.
regards

samahani,kwa uzoefu wako unafikiri fully course inagharimu shilingi ngapi.,including examination fees?
 
Last edited by a moderator:
Mjomba mkude....madarasa yanaendelea pale raha tower, floor ya 4 na tunaanza saa 11 jioni hadi saa 2 usiku..tuko week ya nne, na next week tunamalizia training kwa wanaojiandaa kufanya mtihani mwezi wa 9..lakini baada ya mwezi wa nane tutaanza darasa lingine la cisa..so kaa mkao wa kula
kwa mawasiliano zaidi nitafute 0713 451713
 
Kwa wale ambao walikuwa wanahitaji kufanya mtihani wa CISA December 2015, review classes za CISA zinaanza week ijayo jumatatu 31/08/2015 pale Raha Tower, Insitute of Internal Audit Floor ya 4..tunawakaribisha sana..
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Sam Mujinja kwa number 0713 451713 ama 0764 978313

karibuni wote kwa usgauri na discussion na tunao walimu wa kukusaidia kufaulu mtihani..

All the best
 
Darasa la CISA linaanza leo trh 31/08/2015 kama ilivyopangwa,
wale ambao hawajafanya registration wanaombwa kufanya hivo

ama wasiliana nasi kwa kupitia number 0713 451713 or 0764 978313

karibuni sana
 
True Ink Associates would like to Announce that the Fourth CISA (Certified Information Systems Auditor) ReviewClasses is scheduled to commence on Monday 31/08/2015, Dar Es Salaam City Center, Raha Tower Building 4th Floor at the Institute of Internal Auditors (IIA) Conference Room. For those who are interested to sit for December CISA/CISM Exams Exams are warmly welcomed.

The course Duration is 5 weeks, 3 hrs a day, from Monday to Friday, starting from 17:00-20:00 hrs in the evening. Additional one week will be provided for intensive review on sample questions and in depth discussion on various areas as we have almost 1,200 questions covering the entire 5 modules.

The course Fee is TZS 700,000/= which includes course materials like questions, answers and explanations, Course Manual and other supplementary materials.


Register to reserve your sit.


For more information please Contact us through +255 713451713 or 0764 978313

For Payment Details😛ay through the below Account.

TRUE INK ASSOCIATES
ACCOUNT NUMBER: 00110203226501
BANK NAME: MKOMBOZI BANK
ST JOSEPH BRANCH.
 
another class will start on 25/07/2016. for more info please contact us through 0713 451713
 
review class ya cisa inaanza jumatatu ya week ijayo tareh 25/07/2016 hapa dsm, kwa ambaye hajafanay aregistration tafadhali awasiliane nasi kupitia 0713 451713
 
Leo tunafanya maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kuanza darasa tarehe 25/7/2016. register to reserve your seat.

Sam
 
Back
Top Bottom