Certified google android tv box VS non certified android tv(android ya simu)

nyumbani kwenu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
153
Reaction score
163
wakuu habarini samahan naomba msaada ipi bora kati ya certified google android tv vs tv box zinazotumia android ya kawaida ya simu interms of

uwezekano wa kusideload aplication kutoka google
unlimited ya apps katika playstore
kupata application zilizokua optimezid na tv
uwezo wa kusaport 4k kama box husika ni 4k
speed ya kufungua app
asanteni
 
Kama unataka 4K nunua tu tv yenye uwezo huo..pia tv box nzur tafuta mi tv box
 

nashukuru sana mkuu,at least unanipa mwanga,mimi ninayo pia mi tv box 4k, naitumia, kitu ambacho kinanipa changamoto hii inaitaji zaid apllication ambazo ziko optimesed na tv,yan had uipate app yake ya android tv,nimejaribu kudowload ap nging zinapiga kazi kama kawaida,laki kuna baadh ya app hasa sa kibongo bongo zinazingua kweny mi tv box kama azam tv max haikubali,na hapo nimesownload toka kwenye app ya downloads,sasa nilitaka pta expirence ya hizo ambazo sio certified
 
Shida ya Xiaomi product zao wameziwekea restriction sana, niliwahi kutaka kuweka custom rom kwenye simu moja ya xiaomi inatumia processor za mediatek, ilinisumbua balaa, kila niki flash napata bootloop, bahati mbaya nilisahau ku backup NVRAM kwa ajili ya ku backup IMEI, matokeo yake imei zikafutika baada ya ku restore stock ROM,

Kama unataka kubapata experience tofauti nakushauri utafute TV BOX, android TV nyingi zinazokuja uku Afrika naona kwa upande wa performance ni za kawaida sana, labda uhamue kuvunja kibubu, ni bora utumie TV Box zinakupa uhuru zaidi.

Mimi pia nampango wa kuibadili hii MI TV box nichukue brand nyingine.
 

brand kama ipi mkuu inaweza ikawa iko poa,ili niagiza aliexpress
 
brand kama ipi mkuu inaweza ikawa iko poa,ili niagiza aliexpress
Mimi pia bado natafiti brand ipi itakuwa ipo safi, kuna video youtube nime share link unaweza ukapitia









 
Chief-Mkwawa njoo utupe muongozo mkuu
Android tv ni much better kuliko android ya kawaida.

Naelewa mtu akitaka cu customize ila haimake sense eti tv iwe na root, sijui chrome na vinginevyo.

Nimetumia box za kichina mpaka vidole vinauma, kufanya kitu kidogo unachukua muda mrefu sana.

Software ambayo ipo optimized na tv unachukua muda mchache tu kukamilisha kitu, sio convinient muda wote unabofya bofya remote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…