sio lazma mdogo wangu we tuma hvo hvo
co lazma m nlituma bila kucertify...nkaitwa na february naingia mzgon TANROAD
Acha kumpotosha mwenzio utumishi bila Ku certify vyeti huitwi...
Acha kumpotosha mwenzio utumishi bila Ku certify vyeti huitwi...
hapana mkuu,unaitwa na ukipasua interview zao wanakuita kazini bila shida.