Certificate or diploma in marketing at mzumbe University

iddy eba

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
573
1,171
Wakuu naomba kuuliza, je mzumbe University Wanadahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza certificate au diploma in marketing?
 
kesho kafanye application nacte cas watakuchagua tu kama una d-4 o level ama e-2 form six
 
tangazo wamelitoa so go ahead kama kuna katisho taarifa zitatoka pia kila kanda ina ofisi za nacte so unaweza waona wakakutajia tarehe sahihi ya udahili
So tuliomaliza four twaweza jiunga mzumbe?
 
Bro mimi Nimemaliza form 4 2015..
Nina div 3 ya 24
yah karibu IDM ama mzumbe universty waweza chaguliwa sifa zote unazo kusoma chet na pia ata diploma ila sijajua kuna alama zipi kwa mtu mwenye cheti cha form 4 kwenda diploma ...
 
Back
Top Bottom