Amefanikiwa kuzuia timu isivae nembo ya GIIESEMU.Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa.
Tangu apate ile nafasi pale Simba SC naona kama amewarudisha sana nyuma wale Jamaa. Hakuna jambo amefanya ambalo mwanasimba anaweza kuona umuhimu wake.
Mwenzake Senzo ana mafanikio ambayo yanaonekana na kuelezeka.
Sasa huyu mwanadada kila atakacho gusa ni lazima kiishie kati.
Alikuja na mkakati wa Kikaragosi Cha Simba SC mwisho wa siku kikaragosi chenyewe hakionekani tangu wadau wadai kuwa kinawatisha watanzania.
Alikuja na mpango wa kuchangisha pesa za uwanja, ikafika hatua wakakusanya mil 60 tu ndani ya miezi 3. Na mkakati huo ukaishia hapo hapo.
Yeye alihusika pakubwa kwenye kuongoza jopo la kumpata kocha mpya. Akakurupuka wakaleta. Didier GOMES Da Rosa. Na sasa kawapoteza mazima na kasepa.
Leo Ameita waandishi wa habari waongozane naye kwenda Bunju ili wachukue tukuo zima ambapo Architect akichukua vipimo. Tena wakiwa wamevaa Reflectors na Helment kabisa. [emoji23][emoji23]
Sasa unaanza kujiuliza huo ujenzi utaanza kwa kutegemea pesa ya kampeni ya NaniZAIDI? Yaani milioni 101 kweli ndio za kumfanya mtu aanze kutafuta mkandarasi?
Huyu Dada ana mengi sana ya kujifunza kutoka kwa CEO SENZO wa DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS.
Kama kuna jambo lolote ambalo amefanikiwa ndani ya miama yake 2 akiwa pale naomba mnitaarifu nimekaa pale nasoma Comments zenu!
Umeambiwa uelezee mafanikio yake tokea ameshika iyo nafasi acha story za kufikirikamashabiki wa Simba na Yanga huwa wanatamani mambo makuubwa wakati michango ya 1000 kwenye timu tu inawashinda.
Mafanikio ya senzo yako wazi ayahitaji mpaka uelezweEleza aliyofanya Senzo ya kujivunia. Au mnajivunia calendar?
Yako wazi kwa nani?Mafanikio ya senzo yako wazi ayahitaji mpaka uelezwe
Hoja ni kwamba unalinganisha watu wawili. Yule ambae unamuona hajafanikiwa umeeleza kutofanikiwa kwake lakini yule unaeamini amefanikiwa unasema iko wazi. Iko wazi kwa nani? Kwa nini kutofanikiwa kwa Barbara pia kusiwe wazi na husingeandika yote hayo?Yako wazi sana mzee//
Ukiona unahitaji kuambiwa maganikio yake basi ujafikia Viwango vya kubishana kwa hoja na Beberu la KIHAYA.
Nakubaliana na wewe 100%mashabiki wa Simba na Yanga huwa wanatamani mambo makuubwa wakati michango ya 1000 kwenye timu tu inawashinda.
Mnyakyusa mwenzangu usihangaike na huyo mhaya ,nipo huku kwao mwaka Saba huu so nawajua nje ndani ,ni watu fulani wapenda sifa kwenye hakuna.Hoja ni kwamba unalinganisha watu wawili. Yule ambae unamuona hajafanikiwa umeeleza kutofanikiwa kwake lakini yule unaeamini amefanikiwa unasema iko wazi. Iko wazi kwa nani? Kwa nini kutofanikiwa kwa Barbara pia kusiwe wazi na husingeandika yote hayo?
NB: Beberu la KINYAKYUSA.
Huyo muimba rege (Senzo) kafanikiwa jambo gani pale matopeni!!!???Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa.
Tangu apate ile nafasi pale Simba SC naona kama amewarudisha sana nyuma wale Jamaa. Hakuna jambo amefanya ambalo mwanasimba anaweza kuona umuhimu wake.
Mwenzake Senzo ana mafanikio ambayo yanaonekana na kuelezeka.
Sasa huyu mwanadada kila atakacho gusa ni lazima kiishie kati.
Alikuja na mkakati wa Kikaragosi Cha Simba SC mwisho wa siku kikaragosi chenyewe hakionekani tangu wadau wadai kuwa kinawatisha watanzania.
Alikuja na mpango wa kuchangisha pesa za uwanja, ikafika hatua wakakusanya mil 60 tu ndani ya miezi 3. Na mkakati huo ukaishia hapo hapo.
Yeye alihusika pakubwa kwenye kuongoza jopo la kumpata kocha mpya. Akakurupuka wakaleta. Didier GOMES Da Rosa. Na sasa kawapoteza mazima na kasepa.
Leo Ameita waandishi wa habari waongozane naye kwenda Bunju ili wachukue tukuo zima ambapo Architect akichukua vipimo. Tena wakiwa wamevaa Reflectors na Helment kabisa. [emoji23][emoji23]
Sasa unaanza kujiuliza huo ujenzi utaanza kwa kutegemea pesa ya kampeni ya NaniZAIDI? Yaani milioni 101 kweli ndio za kumfanya mtu aanze kutafuta mkandarasi?
Huyu Dada ana mengi sana ya kujifunza kutoka kwa CEO SENZO wa DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS.
Kama kuna jambo lolote ambalo amefanikiwa ndani ya miama yake 2 akiwa pale naomba mnitaarifu nimekaa pale nasoma Comments zenu!
Yapi hayo?Mafanikio ya senzo yako wazi ayahitaji mpaka uelezwe