Sidhani kama aliuliza kwa ubaya nadhani huwezi kujenga bila kujua gharama ya utakacho kijenga... Thats why hata msanifu majengo akikuchorea ramani unayoitaka atakupa estimated cost ya jengo husika.. Then utaangalia kama utaafford au la abadilishe ramani. Labda ungemwambia amtafute Archtecture amuulize hilo swali.
hakika hujaelewa ulichojibiwa, labda kwa kukusaidia, nyumba yenye ukubwa wa 300sqm na nyumba yenye ukubwa wa 150sqm zinaweza zote zikawa na function zinazofanana, yaani 3bedrooms, kitchen, master bedroom etc, kwenye ujenzi haziwezi kufanana cost, ndo maana fundi mchundo Sikonge akakujibu kwa mfano wa picha, na hili nalo ukibisha basi jibu ni mifuko 2000 ya cements,Luka 14 : 28 - 30
14.28 Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia?
14.29 Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki,
14.30 wakisema, Mtu huyu alianza kujenga, akawa hana nguvu za kumaliza.
Unanitisha kwa kagorofa kamoja hivyo ningekuambia malengo yangu baada ya miaka 10 si ungesema mi ni mwehu.
Usilolijua litakusumbua.
jibu la Sikonge lilikuwa sahihi sana, shida ni kwamba mlimtafsiri vibaya, labda kwa vile katoa na picha ya bigshow mkadhani kajibu kwa dharau,Sidhani kama aliuliza kwa ubaya nadhani huwezi kujenga bila kujua gharama ya utakacho kijenga... Thats why hata msanifu majengo akikuchorea ramani unayoitaka atakupa estimated cost ya jengo husika.. Then utaangalia kama utaafford au la abadilishe ramani. Labda ungemwambia amtafute Archtecture amuulize hilo swali.
Nakushkuru kwa kunielewa na kujibu vyema ila sielewi ni lugha gani ngumu kiasi hicho nilitumia nikaeleweka vibaya hivyo.Sidhani kama aliuliza kwa ubaya nadhani huwezi kujenga bila kujua gharama ya utakacho kijenga... Thats why hata msanifu majengo akikuchorea ramani unayoitaka atakupa estimated cost ya jengo husika.. Then utaangalia kama utaafford au la abadilishe ramani. Labda ungemwambia amtafute Archtecture amuulize hilo swali.
duh! pamoja na ufafanuzi wote huo bado tu hujaelewa umeweka bifu????Nakushkuru kwa kunielewa na kujibu vyema ila sielewi ni lugha gani ngumu kiasi hicho nilitumia nikaeleweka vibaya hivyo.
Wala siwezi kufanya hivyo Mkuu kilichoniacha hoi ni hicho kwenye RED.duh! pamoja na ufafanuzi wote huo bado tu hujaelewa umeweka bifu????
Ukimaliza kujenga, kwenye finishing kama kupaka rangi, mabomba, sakafu, ngazi, umeme nk ndiyo utakuja kukumbuka maneno yangu. Ningelikujibu ovyo ila nakuacha kwa leo na kuombea malengo yako ya miaka 10 ijayo yatimie maana mie sina roho korosho kama unavyoonekana wewe. Sasa hivi huna kitu, unasubiri miaka ijayo na unasema niachane na wewe, ukipata hizo fedha zako miaka 10 ijayo, sijui itakuwaje?
Diana Ross aliimba, more money, more problem.
thanx 4 nondoumeuliza swali zuri sana...mimi ni civil engineer na ninajua ubora wa cement mbalimbali...........ukweli ni kwamba watu wengi sana wanauziwa cement zenye ubora mdogo pasipo wao kujua..................kuna cement za barabarani ambazo huwa zinamwaga ili kufanya soil stabilization ambazo mara nyingi ubora wake ni mdogo ambao ni 30.2N hadi 32.5N kwa kiwango cha kiutalaam na watu wamekuwa wakiuziwa hizi cement na kujengea nyumba pasipo wao wenyewe kujua.Cement ambazo unatakiwa ujengee nyumba inatakiwa iwe 40N au 42N.Mimi katika mtaa ninapoishi watu wengi wanachakachuliwa cement pasipo wao kujua.Unakuta mtu anauza cement ambazo amezichanga na zile za barabarani ili apate faida kubwa.ukweli ni kwamba cement za barabarani bei yake ni ndogo kwa hiyo akizichanganya anapata faida kubwa.
NB:JITAHIDI UKIENDA NUNUA CEMENT SOMA MFUKO HADI UONE 40N AU 42N UBORA WA CEMENT.MAFUNDI WENGI HAWAJUI KIINGEREZA NDIO MAANA HAWAWEZI KUJUA LAKINI WANAWEZA ANGALIA HIYO NUMBER 40N AU 42N.